Miaka mitatu ya Rais Samia, kila kitu kimepanda bei

Miaka mitatu ya Rais Samia, kila kitu kimepanda bei

Afu Kuna kimidia Cha kichoko kama Clouds FM asee hawa jamaa ni chawa pro... Ningepata Bomu walah ningeenda kulipya hizo studio za kiqumer.
Na wasafi pia
 
  • Thanks
Reactions: Exy
Kama ni maisha kupanda ni sehemu nyingi duniani hata hapa nilipo tunapambana tu na tunamudu kwa sababu ajira zipo na mishahara inasaidia
Ila jamani kupokea na vyakula kutoka nje kama kuna vita hii kiboko
Leo mnaacha kukopa halafu wali mnalishwa na Mito na Maziwa mnayo
 
Viongozi wana upungu wa akili vichwani mwao.
 
In economics
Mfumuko wa bei unaletwa nakukosekana kwa uiano wa import vs export, enzi za magu kulikua na ukulima mkubwa unafanywa hivyo vyakula vilikua vinalimwa sn tena nakumbuka nyanya zilikua zinaozea mashambani kwakua alizuia baadhi ya bizaa kuingizwa hii ilisaidia soko la ndani.
Ukifanya more import/kulopa sn hii inashusha thamani ya hela yako ndio hapo kila kitu kinakua ghali because of currency volatility
 
Back
Top Bottom