Miaka miwili Tangu njiunge JF

Am humbled kwa mentions zako mbili katika nyakati na fursa tofauti... Stay blessed!!!
Love it watu8, you are a great friend i have ever had.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana KOKUTONA, we love you too. Nikija anga definately nitakutafuta tanga rahaaa
 
Last edited by a moderator:
hujambo mdada? Msalimie sana wera kimya huko jameni

mie nipo bomba namshukuru sana Mungu.........werawera mzima sana atakuitikia nipe mambo mapya maswala ya kutumikia mkoloni
 
Mimi nasema karibu tena kama umeona mchango wangu ulikuwa na manufaa basi usisite tena kujakuulizia kitu kingine au kutafuta msaada waina yoyote ile ni mekuruhusu any needful you dare are welcomed......Hapa ni uwanja mpana haujai..ilashukuru naomba nikuhaidi tutaendelea kushirikiana kwanjia zote tutakazopenda kushirikiana karibu!!
 
Yashikilie na ndimu hadi utakapokuja.

Ukiyaacha yadondoke yote utauonjaje ukarimu wa watu wa Tanga lol

Umeona eeh? yaani apa kazi ni moja tu yasije yakadondoka kabla hayajafika penyewe. Msalimie sana mzee mwenzangu Dark City
 
Last edited by a moderator:
Shukrani sana madame kwa kunikumbuka..... Hongera kwa kudumu kwa muda wote huo!
 
Wow.. Hongera KOKUTONA ... Usisahau maembe ya Tanga
 
Last edited by a moderator:

How lovely of you KakaKiiza.

I will dare come to you with no hesitation,because i know i will get what i want from you.
Kwako my questions will be answered, my need will be fulfilled, my problems will be attended, and vice versa is true, then why not.

I will be there soon brother.
 
Last edited by a moderator:
Naona neema inazidi kushukia kutoka Tanga ninaujio! Arushaone kaka DARKCITY
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…