Tarehe 29/January 2011 ndiyo ilikuwa siku nliyojiunga Jamiiforums na leo natimiza miaka miwili. Si mingi lakini kwa niliyoyapata humu nnawez kusema nina full package ya faida, hivyo kwangu miaka miwili ni ya kujivunia.
1. Nilivyojiunga.
Ni assignment chuo ambayo ilinilazimu ku google na google ikanipelekea JF, kwanza niliyoambiwa mambo ya ku log in nikapotezea. Ku google tena, ku click nilipelekwa the same page ndipo nikajisajiki anonymously as rules said lol.
Nilikuwa ngumu sana kwangu kuchagua ID maana target yangu ilikuwa nipate nilichokipata. Ndipo nikaibuka na jina la kwetuu
KOKUTONA, nikafanikiwa kujiunga na kuanza ku access JF kupitia
EDUCATION FORUM.
Baada ya hapo nilitoweka jumla maana nilichokitaka nilikipata. Nilipata kazi nyingine sikupata shida nikajimuvuzisha tena
EDUCATION FORUM na frankly nilipata majibu niliyo yahitaji. J
F forever!!!!!!!!!!!!!!
2. Majukwaa ya kwanza kabisa kuyatembelea.
Jukwaa la kwanza kabisa kulitembelea ilikuwa ni Education forum, then
JF Doctors baadae nilipenda sana
JUKWAA LA SIASA, nilijivinjari humoo, niawa nacomment comment pia, but nikaona STRESS zinazidi lol, ukijumlisha na sterss zanyu ninafsi nkaona lol nitakufa buureee. Nikaaamia
MAHUSIANO MAPENZI na URAFIKI.
3. Mahusiano, Mapenzi na Urafiki MMU.
JUkwaa hili ndilo lililonipa nuru mpya, matumaini na furaha. I was desperately by then, na nilikuwa na matalizo ya kutendwa lol. Hapa nimshukuru babu wa ukweli
Dark City,ana mchango mkubwa,naweza sema MMU ilinirudishia furaha nuru ya uso na furaha ya nafsi. Huko nilijifunza kuwa na furaha wakati wote na kutoruhusu human being kuniliza na kuninyima furaha ya maisha. Nilijifunza kutokana na post za matatizo ya watu, post za ushauri na hata pale jokes zilipotumika nilicheka na kufurahi na hata mwanya ukaonekana.
Sijutii kujiunga JF na sijutii kabisa kuwa mmoja wapo wa fans wa MMU. Imebadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa, am living happy life na stress free. Mmaongia JF kama guest please register yourself kwa full access ili muone matunda.
4. Chit Chart
Aaaa huku ndo usisemeeee, nimepata marafiki ambao wamekuwa ndugu na msaada mkubwa katika maisha yangu.
Nikiamua kuelezea nitawachosha kwa maneno. I love you ALL chit chartes. Mwaaaaa!!!!!!!!!!!!11
6. Thanksgiving
Shukrani zangu za dhati kwa wana JF wooote kabisa maana bila nyinyi nisingekuwa na afya ya kuandika haya leo.Specifically kwaaaaa, JF founders kwa kuanzisha hii kitu maana imetusaidia kwa ukwelii, pamoja na MOD's woote bila kumsahau
Invisible lol. Pia
1. Babu
Dark City, babu yangu huyu sina maneno ya kutosheleza kutoa shukrani kwake. Ni mtu ambaye amekuwa mshauri wangu wa kwanza, na kiukweli amenisaidia san kuutambua ulimwengu zaidi ya vile nilivyoukuwa naujua.
Ahsante sana babu
Dark City, Mungu akupe maisha marefu, upendo wako na kujali kwako kwa mjukuu wako nakuthamini sana. Sina cha kukulipa but GOD will pay u. I LOVE YOU.
2
KakaKiiza, Daah, hata sijui nianzie wapi kwako. But nifupishe kusema ahsante sana. You Know what i mean and i mean it. Kwa ujumla you helped me much.
3.
watu8, yaani wewe dogo, kwenye technologia uko juu, umenisaidia matechnologia
4..Marafiki zangu wapendwa
Mkirua, am proud wewe kuwa rafiki yanyu,
Tutor B, @C6,
Mutta na wengieo wengi ambao nitakuwa nimewasahau kutokana na memory breakdown.
5.
Erickb52 nakushukuru sana kwa kukubali kuchukua jukumu la kumlea mwanangu mpenzi Erick JUNOUR. Unamtunza, hupitishi hata matumizi jamani. Ubarikiwe sana, you took the place of his father completely lol
6. Arushawing, i see nyie people....
Arushaone the baba mtarajiwa,
Blaki Womani,
Filipo,
Lily Flower,
paka Jimmy,
werawera,
Preta,
marejesho. Yaani nyie people you add the great memory za maisha yangu za kukumbukwa siku zote. Many KISSES.......
7. Dar people
Madame B,
watu8 na
Smile, miss you big you people, nakumbuka tour ya TANGA.
8. Home sweet home,
Mwanyasi,
YNNAH,
CHUAKACHARA na babu Dark City.
Bila kuwasahau
Mtambuzi,
Vin Diesel,
noahism,
charminglady,
gfsonwin,
Kipipi,
Bishanga,
Kaizer, na wooote, km nimekusahau nikumbushe though jua uko moyoni. Ni memory break down tuu.
NAWAPENDA WOOTE JF MEMBERS
IN MY TWO YEARS BIRTHDAY IN JAMIIFORUMS