Miaka miwili ya Mbosso ndani ya WCB

Hivi mbona producer laizar kule kwa wazazi wake kigoma kunatia mashaka ukilinganisha na label(WCB) kubwa ambayo anafanya nayo kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wale wanalipa mishahara. Hata ukitengeneza nyimbo 100 kwa mwezi. Kama mshahara ni laki tano, unapewa hiyo hiyo. Haijalishi kama hizo nyimbo 100 umeingiza million 100
 
Hata kiba ana mafanikio makubwa kapiga show dormitory za granite high school uko states lakini ka mute kwa kutopenda show off
 
Umeeleza mengi sana lkn sie hatuna haja ya kumjua msanii wa India,,sisi tunapenda muziki mzur wa wahindi na tunafatiliza kuimba kwa kuchapia,,mziki ukiusikiliza ukakunogea ukarudia kusikiliza tena na tena lzm utaanza kuigilizia kuimba hata kwa kuchapia.....zamani tulikua tunaimba nyimbo ya alpha blondy eti k.u.m.a nibendera ma.ta.ko zanura,tunaupenda ndo maana tunachapia kuimba,,baadae muziki ukinoga zaid unaanza kufatilia kaimba nani huu muziki?.....baadae kabisa unatafuta aloimba ni wa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujitegemea kimuziki sio mchezo mangi,unaeza jikuta hata video Kali huna hela ya kushoot na usipoangalia utashoot kwa simu ya tecno boom j7,studio yenyewe ya kuingiza sauti utatafuta producer wa elf 50,unavyoona msanii anatoa ngoma Kali na kideo kikali kipo utube ujue hajatoa hata kumi yake,Bali ni uongoz wake unahusika kwa kila kitu,hadi mavazi,, yeye atakatwa kwenye pesa zinazoingia kupitia muziki wake,sema wengine wanakata sana hadi msanii anaishi kwa shida
Mbosso akijitegemea angekua mbali zaidi. Nyumba yake binafsi na gari kali zaidi. Sio ile Lexus ya mkopo kutoka WCB


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Audio za Mbosso zinatosha kumpeleka mjini. Haitaji video za mamilioni. Tatizo la Mbosso ni muoga!
 
Mie kupitia huu uzi nimejua nyimbo zake...ziko kama taarab,sio nzuri hata
Huu ni uchawi wa kiwango cha lami.

Uzi haujawekwa audio wala video ila umekufanya umezijua nyimbo zake zote ambayo ukuwai zisikia na ukaona zote sio nzuri.

Punguza upunguwan aisee.
 
Hivi kuna nchi ukikubalika ndio anakuwa international na kuna nchi hata ukubalike bado anakuwa local?

Mfano Mbosso anafanya shows Comoro, Mombassa, Madagascar, Mayotte, Oman nk hizo nchi ni za kitaifa bado hatuwezi ziita international?
 
Huu ni uchawi wa kiwango cha lami.

Uzi haujawekwa audio wala video ila umekufanya umezijua nyimbo zake zote ambayo ukuwai zisikia na ukaona zote sio nzuri.

Punguza upunguwan aisee.

Kwani lazima uzi uwekwe audio au video ili kujua nyimbo zake?acha ushamba!!!

Halafu nani kaandika nimezijua nyimbo zake zote??mammmmmmae zako

Acha kukurupuka wewe!!pumbavu!!!!
 
Diamond angemsaini Aslay,WCB ingeparaganyika mapema sana,Kajamaa ni kasnitch flan halaf jeuri na kujiona mkubwa saaana...hili ndo linamfelisha katika kazi zake.
 
Maelezo mengi lakini bado hujaonyesha kuwa muziki unapendwa kwa sababu lugha inaeleweka.

Haya, wabongo tunaopenda hizo nyimbo za hayo mataifa yote uliyoyataja tunaelewa kinachoimbwa au tunafeel tu vibe lake?

Prakatatumba ina maana gani?
Soma vizuri uelewe nimeongelea nguvu ya hayo mataifa kwenye soko la muziki duniani ni kubwa(namaanisha muziki wao ulishasambaa dunia nzima miaka kibao iliyopita) na lugha wanazotumia ni lugha ambazo zinazungumzwa dunia nzima na watu wengi kwa mfano equatorial Guinea wanazungumza kiispanyola despacito wanaielewa vizuri you see? Tanzania watu wengi tu wanajua kiingerza na kwa asilimia kubwa tu wanaelewa kinachoimbwa hata km sio kwa 100%, Kwani wabongo peke yenu ndio mnaosikiliza hizo nyimbo? Na sio wabongo wote hawaelewi wapo wengi tu wanaoelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…