Miaka Miwili ya Samia ukwasi mabenki waongezeka

Miaka Miwili ya Samia ukwasi mabenki waongezeka

kalacha mateo

Senior Member
Joined
Sep 27, 2021
Posts
119
Reaction score
240
Wadau wa huduma jumuishi za kifedha nchini wamesema diplomasia ya uchumi imeongeza uwekezaji na ukwasi katika benki mbalimbali kutokana na kuongezeka kwa mzunguko wa fedha. wamesema wawekezaji wapya na wafanyabiashara wa ndani wameongezeka imani yao ya kuhifadhi fedha katika benki hivyo kuongeza amana za muda mfupi na mrefu ikilinganishwa na miaka iliyopita.

Kwa mujibu wa takwimu za Benki ya Tanzania zinaonesha kuwa amana katika benki zimeongezeka kutoka shilingi bilioni 207 mwaka 2019 hadi sh trilioni 1.1 mwaka 2022. Sekta hiyo pia inazidi kuimarika kutokana na sera nzuri zilizopo.
Unknown-23.jpeg
 
Mabenki wapunguze proccessing fee za mikopo waache wizi!
Period.
 
Back
Top Bottom