Miaka miwili ya Wallace Karia madarakani

Miaka miwili ya Wallace Karia madarakani

Hivi Mikael Wambura bado tu wamemng'ang'ani jela.

Kesi yake wala siisikii tena, imeishia wapi!

Topic hii imenikumbusha mambo mengi ya hovyo kwenye tasnia ya soka Tz.
Wambura yuko ndani mpk sasa.
 
Angalau huyu tumeona Taifa Stars imecheza fainali za AFCON. Hao wengine tumeshuhudia lipi angalau moja?
AFCON tumshukuru Makonda na serikali kwa kuongea vizuri na marafiki zetu wa damu (M7) ili watulegezee.
 
Huyu Bwana Karia .Ameshindwa Kabisa kuongoza Tff.Mwaka Jana Tff na Bodi Ya Ligi wameshindwa Kabisa kutupatia mdhamini katika Ligi.Na Kuna katabia kapo pale Tff .katabia ka kubebana .kwa mfano walivyo Mpa Timu ya Vijana chini ya Miaka 20.Oskar Mirambo.Na timu kufanya vibaya kwenye Afcon Ya Vijana .Ni Dhahiri Kabisa hawakufanya Haki Kwani Oskar Hakutosha kupewa ile timu .mwenyewe alikuwa ni Kocha Kim Polsen.Lakini kwa hali ya mshangao kabisa Walimwacha Kim Akaondoka .Kwa kweli mie nampa %40.mr Karia katika uongozi wake tangu amengia mpaka siku ya Leo
 
Ally mayay alikuwa mjumbe kamati ya utendaji yanga ukamshinda halafu leo mnataka aje kuwa rais wa tff? sidhani kama ataweza kuongea na kutenda ni tofauti.
 
Nitakubaliana nanyi ikiwa tu Mtaniorodheshea japo mabo hata matatu muhimu na ya faida kwa taifa waliyofanya wangulizi wa karia.... Then gongowazi wanaamini kuwa akichukua ungozi mchezaji wao wa zamani basi mambo yao yatanyoka...upuuuzi sana
 
Back
Top Bottom