Huyu Bwana Karia .Ameshindwa Kabisa kuongoza Tff.Mwaka Jana Tff na Bodi Ya Ligi wameshindwa Kabisa kutupatia mdhamini katika Ligi.Na Kuna katabia kapo pale Tff .katabia ka kubebana .kwa mfano walivyo Mpa Timu ya Vijana chini ya Miaka 20.Oskar Mirambo.Na timu kufanya vibaya kwenye Afcon Ya Vijana .Ni Dhahiri Kabisa hawakufanya Haki Kwani Oskar Hakutosha kupewa ile timu .mwenyewe alikuwa ni Kocha Kim Polsen.Lakini kwa hali ya mshangao kabisa Walimwacha Kim Akaondoka .Kwa kweli mie nampa %40.mr Karia katika uongozi wake tangu amengia mpaka siku ya Leo