Tanzania One 2024
Member
- Nov 13, 2020
- 89
- 132
- Ndoa ni moja ya agizo la Mungu kwetu wanadamu,lakini agizo hili limekuwa na changamoto kutimizwa nasi hasa Katika karne hii ya 21,kwani vijana wengi tumekuwa na kaulimbiu Ambayo inachochea kukataa agizo hili"Kataa ndoa,tengeneza Maisha"
Je,ni lipi chaguo Bora kwako likija swala la umri katika mahusiano?
- Mke kumzidi umri mume
- Mume kumzidi umri mke
- Angalau wapishane kwa miezi tu