Ndoa ni moja ya agizo la Mungu kwetu wanadamu,lakini agizo hili limekuwa na changamoto kutimizwa nasi hasa Katika karne hii ya 21,kwani vijana wengi tumekuwa na kaulimbiu Ambayo inachochea kukataa agizo hili"Kataa ndoa,tengeneza Maisha"
Hata hivyo kuna minong'ono kuwa"Umri wa wanandoa huchangia ama kudumu au kutodumu kwa muungano huu"
Je,ni lipi chaguo Bora kwako likija swala la umri katika mahusiano?