Ukweli mtupu dunia imebadilika sana na watu wamekuwa in-social sana sijui tunaelekea wapi!Kwanza niwape pole kwa yanayoendelea kwenye taifa letu . Tutapata tu jawabu .. anyway moja kwa moja kwenye mada.
Miaka hiyo niliyoitaja hapo juu naweza kusema ndicho kipindi au zama za ulimwengu wa burudani ambapo ilikuwa ni zama ya aina yake . Walioishi hiki kipindi wanaweza kubaliana nami kwamba ndicho kipindi
Hakika zama hizo hazipo tena . Tuko zama za akili mnemba. Kwamba dunia ya sasa AI ndio order of the day. Burudani za sasa hazina ile ile "soul touchy"kama miaka ile.. gone are the days.
- Miziki mizuri ulitungwa na kuimbwa na zinatesa hadi leo hii.. Mj,celine dion,etal
- Filamu maarufu duniani zote zilitengenezwa . Waigizaji walikuwa wakiuvalia uhusika ile ipasavyo. Kuanzia romance ya Titanic hadi za mapigano na kijeshi kama john rambo,true lies na commando
- Mashindano ya mbio za magari yalikuwa na hype kubwa sana duniani kama vile yale ya NASCAR na madereva mashuhuri kama kina dale earnhadt walikuwa wakizipa umaarufu.
- Ni kipindi ambapo madisco na live concert zilikuwa zikitamba duniani kote kuanzia ukumbi wa madison square garden pale marekani hadi billcanas, ddc mlimani kule dsm Tanzania. Watu walikuwa waki i feel ile burudani kutoka moyoni kabisa.
Hakika sikupingiYa kale ni dhahabu, hata kwenye mpira ligi ndogo za mikoani zilijaza viwanja. Mchezaji akisajiliwa ligi kubwa mtafahamu wote na kumfuatilia magazetini. Burudani zote za miaka hiyo zilikuwa na msisimko mkubwa tuliwajua mastaa wote duniani wa burudani hizo
Hakika tuYa kale ni dhahabu, hata kwenye mpira ligi ndogo za mikoani zilijaza viwanja. Mchezaji akisajiliwa ligi kubwa mtafahamu wote na kumfuatilia magazetini. Burudani zote za miaka hiyo zilikuwa na msisimko mkubwa tuliwajua mastaa wote duniani wa burudani hizo
Tuseme hadi 2010 hivi kidogo. Ila kuanzia 2012 mambo yalichange .nadhani hadi miaka ya 2000 mwanzoni,bado mambo yalikuwa moto
maisha yalikua ya udugu na upendo mkubwa!!Kwanza niwape pole kwa yanayoendelea kwenye taifa letu . Tutapata tu jawabu .. anyway moja kwa moja kwenye mada.
Miaka hiyo niliyoitaja hapo juu naweza kusema ndicho kipindi au zama za ulimwengu wa burudani ambapo ilikuwa ni zama ya aina yake . Walioishi hiki kipindi wanaweza kubaliana nami kwamba ndicho kipindi
Hakika zama hizo hazipo tena . Tuko zama za akili mnemba. Kwamba dunia ya sasa AI ndio order of the day. Burudani za sasa hazina ile ile "soul touchy"kama miaka ile.. gone are the days.
- Miziki mizuri ulitungwa na kuimbwa na zinatesa hadi leo hii.. Mj,celine dion,etal
- Filamu maarufu duniani zote zilitengenezwa . Waigizaji walikuwa wakiuvalia uhusika ile ipasavyo. Kuanzia romance ya Titanic hadi za mapigano na kijeshi kama john rambo,true lies na commando
- Mashindano ya mbio za magari yalikuwa na hype kubwa sana duniani kama vile yale ya NASCAR na madereva mashuhuri kama kina dale earnhadt walikuwa wakizipa umaarufu.
- Ni kipindi ambapo madisco na live concert zilikuwa zikitamba duniani kote kuanzia ukumbi wa madison square garden pale marekani hadi billcanas, ddc mlimani kule dsm Tanzania. Watu walikuwa waki i feel ile burudani kutoka moyoni kabisa.
pia kulikua na vijiwe mbalimbali vyenye watu wa rika tofautiKukutana na marafiki ilikuwa ni vibes moja amaizing kila weekend
watoto wanakaa ndan tuKabisa... sikuhizi vijiwe vimeamia online