Miaka ya 1980s hadi 1990s, ndiyo ilikuwa golden Era ya mapinduzi ya burudani duniani.

Miaka ya 1980s hadi 1990s, ndiyo ilikuwa golden Era ya mapinduzi ya burudani duniani.

Nakumbuka miaka Ile ya 80's Hadi 90's hapa DAR hapakuwa na foleni barabarani hata Ile mitaa ya posta ilikuwa kusafi mno.
Enzi hizo tunaenda kuangalia movie kwenye majumba ya sinema Kama EMPIRE, NEW CHOX, AVALON, DRIVE-INS
 
Back
Top Bottom