PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,521 Reaction score 46,663 May 3, 2025 #21 Nakumbuka miaka Ile ya 80's Hadi 90's hapa DAR hapakuwa na foleni barabarani hata Ile mitaa ya posta ilikuwa kusafi mno. Enzi hizo tunaenda kuangalia movie kwenye majumba ya sinema Kama EMPIRE, NEW CHOX, AVALON, DRIVE-INS
Nakumbuka miaka Ile ya 80's Hadi 90's hapa DAR hapakuwa na foleni barabarani hata Ile mitaa ya posta ilikuwa kusafi mno. Enzi hizo tunaenda kuangalia movie kwenye majumba ya sinema Kama EMPIRE, NEW CHOX, AVALON, DRIVE-INS