Miaka ya 1992,kabla ya kuingia tv,simu za mkononi,bodaboda,daladala na bajaji,tuliwezaje kumaliza siku?

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Siku hizi watu hatuwezi kumaliza siku bila ya kutumia simu,au kuangalia TV,vinginevo tutaiona Siku ndefu na inayoboa

Hatuwezi kutembea kwa miguu hata kwa umbali mfupi tu kama Sinza madukani hadi Ubungo au Chang'ombe jijini Dodoma hadi kiplefti cha Airport mpaka daladala au Bajaji au bodaboda

Sasa swali hivi miaka hiyo ya 1992 tuliwezaje kumaliza siku sababu sasa hivi serikali ikisema izime data watu watakuwa wagonjwa kama wamemwagiwa maji,hata maeneo ya kazi MTU hawezi maliza siku bila kuangalia meseji,pia TV kila ofisi,zamani sijui ilikuwaje kumaliza siku
 
Ishu ni kuwa havikuwepo na wengi wetu hatukuwepo.

Vipo sasa hivi kwa nini usivitumie,ila ishu za distance ndogo kupanda gari au kutafuta usafiri tunawaachia watu wa dsm...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi watu hatuwezi kumaliza siku bila ya kutumia simu,au kuangalia TV,vinginevo tutaiona Siku ndefu na inayoboa

Hatuwezi kutembea kwa miguu hata kwa umbali mfupi tu kama Sinza madukani hadi Ubungo au Chang'ombe jijini Dodoma hadi kiplefti cha Airport mpaka daladala au Bajaji au bodaboda
Sasa swali hivi miaka hiyo ya 1992 tuliwezaje kumaliza siku sababu sasa hivi serikali ikisema izime data watu watakuwa wagonjwa kama wamemwagiwa maji,hata maeneo ya kazi MTU hawezi maliza siku bila kuangalia meseji,pia TV kila ofisi,zamani sijui ilikuwaje kumaliza siku

Kwa kifupi hayo hayakuwa matatizo yetu,yalikuwa matatizo ya wahenga na kwa sasa hv matatizo tuliyo nayo ni makubwa sizani kama wahenga wangeweza kupambana na haya ya sasa kama sisi ambavyo hatuwezi kupambana na yale yakwao.
 
Siku hizi watu hatuwezi kumaliza siku bila ya kutumia simu,au kuangalia TV,vinginevo tutaiona Siku ndefu na inayoboa

Hatuwezi kutembea kwa miguu hata kwa umbali mfupi tu kama Sinza madukani hadi Ubungo au Chang'ombe jijini Dodoma hadi kiplefti cha Airport mpaka daladala au Bajaji au bodaboda

Sasa swali hivi miaka hiyo ya 1992 tuliwezaje kumaliza siku sababu sasa hivi serikali ikisema izime data watu watakuwa wagonjwa kama wamemwagiwa maji,hata maeneo ya kazi MTU hawezi maliza siku bila kuangalia meseji,pia TV kila ofisi,zamani sijui ilikuwaje kumaliza siku
Kupiga umbea na punyeto
 
Hayakuwepo haya lakini yalikuwepo ya aina yake. Kulikuwepo michezo mbalimbali kama vile bao, draft, etc.

Kulikuwepo na ngoma na michezo ya jadi ambayo kama ingelifutwa kipindi hicho basi watu wangelalamika sana. Kwa wasukuma kipindi cha mavuno kulikuwa na CHAGULAGA, ukienda kwa WAHA zamani tunaambiwa walikuwa na mpira wa MAGONGO, katika makabila mengi kulikuwa na ngoma mbalimbali.

Hivyo mambo ya kuliwaza yalikuwepo yanayoendana na kipindi hicho. Nakumbuka enzi zetu tulikuwa hatutulii bila kusoma vijarida vya SANI..

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi watu hatuwezi kumaliza siku bila ya kutumia simu,au kuangalia TV,vinginevo tutaiona Siku ndefu na inayoboa

Hatuwezi kutembea kwa miguu hata kwa umbali mfupi tu kama Sinza madukani hadi Ubungo au Chang'ombe jijini Dodoma hadi kiplefti cha Airport mpaka daladala au Bajaji au bodaboda

Sasa swali hivi miaka hiyo ya 1992 tuliwezaje kumaliza siku sababu sasa hivi serikali ikisema izime data watu watakuwa wagonjwa kama wamemwagiwa maji,hata maeneo ya kazi MTU hawezi maliza siku bila kuangalia meseji,pia TV kila ofisi,zamani sijui ilikuwaje kumaliza siku
Speak for yourself.

Wengine tulikuwa tunaangalia TVZ ( Mapinduzi Daima) tangu 80s.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi hayo hayakuwa matatizo yetu,yalikuwa matapopulation a wahenga na kwa sasa hv matatizo tuliyo nayo ni makubwa sizani kama wahenga wangeweza kupambana na haya ya sasa kama sisi ambavyo hatuwezi kupambana na yale yakwao.
Na kwa wahenga sidhani km haya yalikua ni matatizo san kulingana na aina ya maisha pamoja na population ndogo ya wakat huo.
 
Back
Top Bottom