FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Siku hizi watu hatuwezi kumaliza siku bila ya kutumia simu,au kuangalia TV,vinginevo tutaiona Siku ndefu na inayoboa
Hatuwezi kutembea kwa miguu hata kwa umbali mfupi tu kama Sinza madukani hadi Ubungo au Chang'ombe jijini Dodoma hadi kiplefti cha Airport mpaka daladala au Bajaji au bodaboda
Sasa swali hivi miaka hiyo ya 1992 tuliwezaje kumaliza siku sababu sasa hivi serikali ikisema izime data watu watakuwa wagonjwa kama wamemwagiwa maji,hata maeneo ya kazi MTU hawezi maliza siku bila kuangalia meseji,pia TV kila ofisi,zamani sijui ilikuwaje kumaliza siku