FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Siku hizi watu hatuwezi kumaliza siku bila ya kutumia simu,au kuangalia TV,vinginevo tutaiona Siku ndefu na inayoboa
Hatuwezi kutembea kwa miguu hata kwa umbali mfupi tu kama Sinza madukani hadi Ubungo au Chang'ombe jijini Dodoma hadi kiplefti cha Airport mpaka daladala au Bajaji au bodaboda
Sasa swali hivi miaka hiyo ya 1992 tuliwezaje kumaliza siku sababu sasa hivi serikali ikisema izime data watu watakuwa wagonjwa kama wamemwagiwa maji,hata maeneo ya kazi MTU hawezi maliza siku bila kuangalia meseji,pia TV kila ofisi,zamani sijui ilikuwaje kumaliza siku
HahahIlikuwa kucheza bao,karata,draft na kwenye kahawa ndio utapata habari zote ambazo unazipata sasa hivi kwenye mitandao
Kupiga umbea na punyetoSiku hizi watu hatuwezi kumaliza siku bila ya kutumia simu,au kuangalia TV,vinginevo tutaiona Siku ndefu na inayoboa
Hatuwezi kutembea kwa miguu hata kwa umbali mfupi tu kama Sinza madukani hadi Ubungo au Chang'ombe jijini Dodoma hadi kiplefti cha Airport mpaka daladala au Bajaji au bodaboda
Sasa swali hivi miaka hiyo ya 1992 tuliwezaje kumaliza siku sababu sasa hivi serikali ikisema izime data watu watakuwa wagonjwa kama wamemwagiwa maji,hata maeneo ya kazi MTU hawezi maliza siku bila kuangalia meseji,pia TV kila ofisi,zamani sijui ilikuwaje kumaliza siku
Hayakuwepo haya lakini yalikuwepo ya aina yake. Kulikuwepo michezo mbalimbali kama vile bao, draft, etc.Siku hizi watu hatuwezi kumaliza siku bila ya kutumia simu,au kuangalia TV,vinginevo tutaiona Siku ndefu na inayoboa
Hatuwezi kutembea kwa miguu hata kwa umbali mfupi tu kama Sinza madukani hadi Ubungo au Chang'ombe jijini Dodoma hadi kiplefti cha Airport mpaka daladala au Bajaji au bodaboda
Sasa swali hivi miaka hiyo ya 1992 tuliwezaje kumaliza siku sababu sasa hivi serikali ikisema izime data watu watakuwa wagonjwa kama wamemwagiwa maji,hata maeneo ya kazi MTU hawezi maliza siku bila kuangalia meseji,pia TV kila ofisi,zamani sijui ilikuwaje kumaliza siku
Speak for yourself.Siku hizi watu hatuwezi kumaliza siku bila ya kutumia simu,au kuangalia TV,vinginevo tutaiona Siku ndefu na inayoboa
Hatuwezi kutembea kwa miguu hata kwa umbali mfupi tu kama Sinza madukani hadi Ubungo au Chang'ombe jijini Dodoma hadi kiplefti cha Airport mpaka daladala au Bajaji au bodaboda
Sasa swali hivi miaka hiyo ya 1992 tuliwezaje kumaliza siku sababu sasa hivi serikali ikisema izime data watu watakuwa wagonjwa kama wamemwagiwa maji,hata maeneo ya kazi MTU hawezi maliza siku bila kuangalia meseji,pia TV kila ofisi,zamani sijui ilikuwaje kumaliza siku
Na kwa wahenga sidhani km haya yalikua ni matatizo san kulingana na aina ya maisha pamoja na population ndogo ya wakat huo.Kwa kifupi hayo hayakuwa matatizo yetu,yalikuwa matapopulation a wahenga na kwa sasa hv matatizo tuliyo nayo ni makubwa sizani kama wahenga wangeweza kupambana na haya ya sasa kama sisi ambavyo hatuwezi kupambana na yale yakwao.