Story kwa sana vijiweni,kusimuliana habari za kina sajenti samuel doe,prince johnson,
mithun chakraboty,hema malini,bolo young,jack shroaf etc.
Kuhadithiana mambo ya kina willy gamba,pappillon,mario puzo,James chase etc.
Kumbuka hali ilikuwa ngumu kwenye upatikanaji hela,kwahiyo mambo ya mademu hayakuwa kwa sana,juu huna hela ya lodge,
tofauti na sasa,tangu jk aruhusu ajira za pikipiki,kijana anamaliza la saba na kupata ajira ya kuendesha pikipiki,
enzi hizo ilikuwa unakaa kwenye mawe kwa miaka kabla hujabahatisha hata kiajira cha kubangaiza