Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unajua baada ya miaka 100 mbele vijana watakuwa wanawazaje kuhusu sisi,, watakuwa wanasema watu wa 2018 walikuwa wanishi vip bila kupaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa wahenga sidhani km haya yalikua ni matatizo san kulingana na aina ya maisha pamoja na population ndogo ya wakat huo.
Siku hizi watu hatuwezi kumaliza siku bila ya kutumia simu,au kuangalia TV,vinginevo tutaiona Siku ndefu na inayoboa
Hatuwezi kutembea kwa miguu hata kwa umbali mfupi tu kama Sinza madukani hadi Ubungo au Chang'ombe jijini Dodoma hadi kiplefti cha Airport mpaka daladala au Bajaji au bodaboda
Sasa swali hivi miaka hiyo ya 1992 tuliwezaje kumaliza siku sababu sasa hivi serikali ikisema izime data watu watakuwa wagonjwa kama wamemwagiwa maji,hata maeneo ya kazi MTU hawezi maliza siku bila kuangalia meseji,pia TV kila ofisi,zamani sijui ilikuwaje kumaliza siku