Miaka ya hivi karibuni usikilizaji wa online radio umekua maarufu kuliko FM/AM

Kigger

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
850
Reaction score
772
Habari wana jf

Leo ngoja tupeane updates ya masuala ya radio mi ni mwazilishi wa Tzgospel Radio inasika online na kwenye cable milan cable arusha.

Jambo la kushangaza miaka ya hivi karibuni usikilizaji wa online radio umekua maarufu sana,wakati wa covid kulikua kuna idadi kubwa zaidi ya wasikilizaji wa online radio nakumbuka binafsi radio yangu ilikua na wasikilizaji hadi milion 1 kwa mwezi

Kwa mwaka jana pekee 2023 kwa mujibu wa website RAJAR RADIO inaonyesha usikilizaji wa online radio kwa Uingereza umekuwa kasi na kupita AM NA FM yani asilimia 27.8%ni wasikilizaji wa online na 27%kwa AM/FM

Usikilizaji wa redio mtandaoni unajumuisha kusikiliza kwenye tovuti(11.2%) na apps za kusikiliza radio (16.6%).

Sehemu ya wasikilizaji wa redio ya mtandaoni inaongezeka. Wakati hisa za AM/FM zinapungua. Wakati huumwaka jana, matokeo ya RAJAR yalionyesha kuwa usikilizaji wa redio mtandaoni ulikuwa na hisa 24.4% na AM/FM Radio ilikuwa na hisa 32.4%.

matokeo ya RAJAR yalionyesha kuwa usikilizaji wa redio mtandaoni ulikuwa na hisa 24.4% na AM/FM Radio ilikuwa na hisa 32.4%.

Historia hii imevunjwa mwaka jana pekee tokea

kwa hapa tanzania pia idadi ya wasikilizaji wa online pia umekua kwa kasi kuna vituo vya online pekee ambavyo vina idadi kubwa ya wasikilizaji kuliko vituo vya fm vya apa nyumbani mfano MUNGU KWANZA RADIO,BETHEL RADIO, BORESHA RADIO,TZGOSPEL RADIO ,255global ambavo ni maarufu na zaidi

Mwongozo huu unaweza kukusaidia hasa kijana ambaye unataka kuwa na media yako.

nitaendelea
 
Habari wana jf

Leo ngoja tupeane updates ya masuala ya radio mi ni mwazilishi wa Tzgospel Radio mbaya inasika online na kwenye cable milan cable arusha.

Jambo la kushangaza miaka ya hivi karibuni usikilizaji wa online radio umekua maarufu sana,wakati wa covid kulikua kuna idadi kubwa zaidi ya wasikilizaji wa online radio nakumbuka binafsi radio yangu ilikua na wasikilizaji hadi milion 1 kwa mwezi

Kwa mwaka jana pekee 2023 kwa mujibu wa website RAJAR RADIO inaonyesha usikilizaji wa online radio kwa Uingereza umekuwa kasi na kupita AM NA FM yani asilimia 27.8%ni wasikilizaji wa online na 27%kwa AM/FM

Usikilizaji wa redio mtandaoni unajumuisha kusikiliza kwenye tovuti(11.2%) na apps za kusikiliza radio (16.6%).

Sehemu ya wasikilizaji wa redio ya mtandaoni inaongezeka. Wakati hisa za AM/FM zinapungua. Wakati huumwaka jana, matokeo ya RAJAR yalionyesha kuwa usikilizaji wa redio mtandaoni ulikuwa na hisa 24.4% na AM/FM Radio ilikuwa na hisa 32.4%.

kwa hapa tanzania pia idadi ya wasikilizaji wa online pia umekua kwa kasi kuna vituo vya online pekee ambavyo vina idadi kubwa ya wasikilizaji kuliko vituo vya fm vya apa nyumbani mfano MUNGU KWANZA RADIO,BETHEL RADIO, BORESHA RADIO,TZGOSPEL RADIO ,255global ambavo ni maarufu na zaidi

nitaendelea
Je hizi online radio zitadhibitiwa vipi wakati wa uchagazi?

Maana inabidi zizimwe zote wakati wa uchaguzi watu wawe gizani
 
Habari wana jf

Leo ngoja tupeane updates ya masuala ya radio mi ni mwazilishi wa Tzgospel Radio inasika online na kwenye cable milan cable arusha.

Jambo la kushangaza miaka ya hivi karibuni usikilizaji wa online radio umekua maarufu sana,wakati wa covid kulikua kuna idadi kubwa zaidi ya wasikilizaji wa online radio nakumbuka binafsi radio yangu ilikua na wasikilizaji hadi milion 1 kwa mwezi

Kwa mwaka jana pekee 2023 kwa mujibu wa website RAJAR RADIO inaonyesha usikilizaji wa online radio kwa Uingereza umekuwa kasi na kupita AM NA FM yani asilimia 27.8%ni wasikilizaji wa online na 27%kwa AM/FM

Usikilizaji wa redio mtandaoni unajumuisha kusikiliza kwenye tovuti(11.2%) na apps za kusikiliza radio (16.6%).

Sehemu ya wasikilizaji wa redio ya mtandaoni inaongezeka. Wakati hisa za AM/FM zinapungua. Wakati huumwaka jana, matokeo ya RAJAR yalionyesha kuwa usikilizaji wa redio mtandaoni ulikuwa na hisa 24.4% na AM/FM Radio ilikuwa na hisa 32.4%.

matokeo ya RAJAR yalionyesha kuwa usikilizaji wa redio mtandaoni ulikuwa na hisa 24.4% na AM/FM Radio ilikuwa na hisa 32.4%.

Historia hii imevunjwa mwaka jana pekee tokea

kwa hapa tanzania pia idadi ya wasikilizaji wa online pia umekua kwa kasi kuna vituo vya online pekee ambavyo vina idadi kubwa ya wasikilizaji kuliko vituo vya fm vya apa nyumbani mfano MUNGU KWANZA RADIO,BETHEL RADIO, BORESHA RADIO,TZGOSPEL RADIO ,255global ambavo ni maarufu na zaidi

Mwongozo huu unaweza kukusaidia hasa kijana ambaye unataka kuwa na media yako.

nitaendelea
Simu za tachi hazina redio hivyo ni lazima utumie ya mtandao ambayo inapatikana popote ulipo duniani na mbinguni!
 
Back
Top Bottom