Miaka ya hivi karibuni usikilizaji wa online radio umekua maarufu kuliko FM/AM

Miaka ya hivi karibuni usikilizaji wa online radio umekua maarufu kuliko FM/AM

Asante kwa kunielimisha, nilikuwa sijui kuwa hazina redio.
Tecno infinix na itel wana app yao inaitwa WOW FM hii ina radio ya za fm na online inawezesha kusikiliza radio za online popote na wa mb 56 tu kwa lisaa
 
Alfu online Radio nyingi tanzania zinapiga mziki tu azina content n chache tu ata 5 zisifike ambazo zinafanya vipindi kwa Tanzania
bora kusikiliza BBC swahili na DW swahili ingawa nadhani siku hizi zimeminywa
 
Aseeh nasikiza lakini radio one stereo..... Nyingi saa hz zina miziki yenye kelele afu Mimi na kelele aseeh hatupatani kabisa.....

Kiufupii nyimbo zangu nizieke kwenye platform nzuri tuu.....

Makelele ya singeli mm hapana boss
Mi mwenyewe singeli hapana
 
T
Aseeh nasikiza lakini radio one stereo..... Nyingi saa hz zina miziki yenye kelele afu Mimi na kelele aseeh hatupatani kabisa.....

Kiufupii nyimbo zangu nizieke kwenye platform nzuri tuu.....

Makelele ya singeli mm hapana boss
Sikiliza Tzgospel Radio hutojuta
 
Smartphones za ckuiz hazina FM ndo mana wary wanaopt kusikiliza online
 
Smartphones za ckuiz hazina FM ndo mana wary wanaopt kusikiliza online
Ndio simu zitakuja kua na digital radio masafa mapya aya nitakuja kuelezea hili ivi karibuni,lakini ukipata mda sikiliza Tzgospel Radio link hii hapa 👉 Tzgospel Radio
 
Back
Top Bottom