Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Miss you too dearMy boss miss you so much
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss you too dearMy boss miss you so much
Hahahhaa nacheka sanaOooh nawalazimisha kunywa Safari naona hawaipendi ila pombe kali hawana shida
Kumbuka Yale madude yaliyotokea uarabuni ( Arabic malaria) nayo huwa hayapendi pombe Wala kitimoto. Hivyo unaweza ukawa unajisifu kuwa una malaika kumbe una lindude linakunyonya damu huku likikupangia masharti ya maishaMalaika wangu hawapendi ninywe Tungi, hili jambo limenishangaza kwa muda mrefu sana, sikuwa ni mtu wa dini sana ila nikinywa pombe nilikuwa nakumbana ni mikosi Sana
Baadaye nikienda kwa mama mmoja mganga akaniambia wewe una kama malaika fulani kichwani kwako hawapendi unywe pombe
Sasa najiuliza ni aina gani ya malaika walikuwa kichwani kwangu?
Ushirikina at workMalaika wangu hawapendi ninywe Tungi, hili jambo limenishangaza kwa muda mrefu sana, sikuwa ni mtu wa dini sana ila nikinywa pombe nilikuwa nakumbana ni mikosi Sana
Baadaye nikienda kwa mama mmoja mganga akaniambia wewe una kama malaika fulani kichwani kwako hawapendi unywe pombe
Sasa najiuliza ni aina gani ya malaika walikuwa kichwani kwangu?
Kumbe tiba unayo [emoji23]Oooh nawalazimisha kunywa Safari naona hawaipendi ila pombe kali hawana shida
Safari ni kali sikuhiziOooh nawalazimisha kunywa Safari naona hawaipendi ila pombe kali hawana shida
Una jini Joseph na Michael hawataki uleweMalaika wangu hawapendi ninywe Tungi, hili jambo limenishangaza kwa muda mrefu sana, sikuwa ni mtu wa dini sana ila nikinywa pombe nilikuwa nakumbana ni mikosi sana.
Baadaye nikienda kwa mama mmoja mganga akaniambia wewe una kama malaika fulani kichwani kwako hawapendi unywe pombe.
Sasa najiuliza ni aina gani ya malaika walikuwa kichwani kwangu?
malaika wa afande wa zanzibar.Malaika wangu hawapendi ninywe Tungi, hili jambo limenishangaza kwa muda mrefu sana, sikuwa ni mtu wa dini sana ila nikinywa pombe nilikuwa nakumbana ni mikosi sana.
Baadaye nikienda kwa mama mmoja mganga akaniambia wewe una kama malaika fulani kichwani kwako hawapendi unywe pombe.
Sasa najiuliza ni aina gani ya malaika walikuwa kichwani kwangu?
Hayo ni majini ya kiislamu, yana limitations nyingi. Kuwa huru kama wengine.Malaika wangu hawapendi ninywe Tungi, hili jambo limenishangaza kwa muda mrefu sana, sikuwa ni mtu wa dini sana ila nikinywa pombe nilikuwa nakumbana ni mikosi sana.
Baadaye nikienda kwa mama mmoja mganga akaniambia wewe una kama malaika fulani kichwani kwako hawapendi unywe pombe.
Sasa najiuliza ni aina gani ya malaika walikuwa kichwani kwangu?
Alishafariki nnKulikuwaga na mzee mmoja zamani alikuwa bonge la ustaadh ila alikuwa anadai ana jini mzungu. Jini likipanda anavaa kipensi, shati la bahama na kofia ya marlboro huku anavuta kiko na kudai whisky pamoja na ung'e ng'e mwingi. Alikuwa anafuta chupa ya Grant's yote ndio jini linasepa.
Ila nilikuja gundua alikuwa msanii tu. Alikuwa mlevi anaesingizia jini ili ushehe wake usidhurike. Maana jini gani linakuja weekend tu au kukiwa na sherehe.
Kama unakunywa pombe kichwa kinakuuma. Unakunywa ili upate nini au ndiyo kuumwa ni starehe?Nahisi hao malaika namie nnao nikinywa naumwa ila ndio siachi....wataniua!!!
Haujaipata ile angle ya utamuKama unakunywa pombe kichwa kinakuuma. Unakunywa ili upate nini au ndiyo kuumwa ni starehe?
Pombe ilinishinda. Nakunywa nahisi kizunguzungu. Nikaona haya mateso. Nikapiga chini