Miaka ya nyuma mganga aliniambia kuwa...

Kumbuka Yale madude yaliyotokea uarabuni ( Arabic malaria) nayo huwa hayapendi pombe Wala kitimoto. Hivyo unaweza ukawa unajisifu kuwa una malaika kumbe una lindude linakunyonya damu huku likikupangia masharti ya maisha
 
Ushirikina at work
 
Una jini Joseph na Michael hawataki ulewe
 
malaika wa afande wa zanzibar.
 
Kulikuwaga na mzee mmoja zamani alikuwa bonge la ustaadh ila alikuwa anadai ana jini mzungu. Jini likipanda anavaa kipensi, shati la bahama na kofia ya marlboro huku anavuta kiko na kudai whisky pamoja na ung'e ng'e mwingi. Alikuwa anafuta chupa ya Grant's yote ndio jini linasepa.

Ila nilikuja gundua alikuwa msanii tu. Alikuwa mlevi anaesingizia jini ili ushehe wake usidhurike. Maana jini gani linakuja weekend tu au kukiwa na sherehe.
 
Hayo ni majini ya kiislamu, yana limitations nyingi. Kuwa huru kama wengine.
 
Walokole mnatufatafata sana waganga, wakati wateja wengi mnao nyie makanisani.mafungu ya kumi na mamichango zaka kibao.
 
Alishafariki nn
 
Nahisi hao malaika namie nnao nikinywa naumwa ila ndio siachi....wataniua!!!
Kama unakunywa pombe kichwa kinakuuma. Unakunywa ili upate nini au ndiyo kuumwa ni starehe?
Pombe ilinishinda. Nakunywa nahisi kizunguzungu. Nikaona haya mateso. Nikapiga chini
 
Kama mtu anataka mganga wa uhakika mganga wa Tanga aje pm ilaa aandae kunitumia 5000 Kwa akili ya connection.


Alisikika m Tanzania mmoja akisema Vibora vinagharama Quality is Expensive kama hutaki unataka cheap chukua ya kwenye nguzo utapeliwe.


Nikimtapeli mtu anireport nipigie life ban

Karibuni PM/DM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…