Miaka ya ulaya ni 26, Je ukwamani itakuwa mingapi

Huwa simuelewi Diego Costa wa Atletico Madrid! Jinsi alivyo na umri wake ni tofauti sana! Mbwana bado bwana mdogo acha aendelee kula hela za mabeberu!
 
Ni mwili tu, brother wake wa mbeya city mbona mdogo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…