Miaka ya ulaya ni 26, Je ukwamani itakuwa mingapi

Miaka ya ulaya ni 26, Je ukwamani itakuwa mingapi

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,654
IMG_20190531_173412.JPG


Hata kina yaya toure wamepunguza sana kikubwa tia juhudi uwanjani mdogo wetu ulitangaze taifa letu
 
Huwa simuelewi Diego Costa wa Atletico Madrid! Jinsi alivyo na umri wake ni tofauti sana! Mbwana bado bwana mdogo acha aendelee kula hela za mabeberu!
 
Ni mwili tu, brother wake wa mbeya city mbona mdogo tu.
 
Back
Top Bottom