Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitajie zote nikuchagulie[emoji13][emoji13]
Popote palePacha, hapa tena?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aah wapi yaani first year na finalist tulingane, plus wengine tuliingia shule tayari tuna manyonyo[emoji13]
Whatever, we baki kuwa mdogo wangu tu na mambo ya kujilinganisha na wakubwa ukome[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kunitisha dada, mie mesoma enzi za kushika masikio ndo uanze nursery!
Sawa dadaWhatever, we baki kuwa mdogo wangu tu na mambo ya kujilinganisha na wakubwa ukome
Walai kipindi najiunga ndo nilikuwa nimemaliza Form Six .....Inategemea mkuu, kama ulijiunga una miaka 19 we bado kijana
Kweli mkuu???Hongera ila miaka yote ulikuwa unajificha wapi mimi nimeanza kukuona siku za karibuni
Basi mororo Mkuu ..hongeraaNdio
Hahaha kumbeKweli mkuu???
Mimi ni member mtiifu hakuna siku sijaingia humu,mwaka wangu wa tano nimeumaliza June 21 ona hapo chini[emoji1484][emoji1484]View attachment 973182
Wacha kabisa....Si unaona sasa, ulikuwa katoto bado unamlilia mama akitoka