Miaka yangu 6 Jf

Miaka yangu 6 Jf

Aah wapi yaani first year na finalist tulingane, plus wengine tuliingia shule tayari tuna manyonyo[emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kunitisha dada, mie mesoma enzi za kushika masikio ndo uanze nursery!
 
Whatever, we baki kuwa mdogo wangu tu na mambo ya kujilinganisha na wakubwa ukome
 
Safi sana mkuu hongera,imebidi nikaangalie mwenyewe nashkuru nipo hapa mwaka wa tano sasa si haba kwa kweli.

Tunalisongesha.
 
Hongera ila miaka yote ulikuwa unajificha wapi mimi nimeanza kukuona siku za karibuni
 
Kweli mkuu???
Mimi ni member mtiifu hakuna siku sijaingia humu,mwaka wangu wa tano nimeumaliza June 21 ona hapo chini[emoji1484][emoji1484]
IMG_20181220_164535.jpeg
 
Back
Top Bottom