GE2025 Miaka yote hiyo bado CCM ina ahidi kupeleka maji vijijini, ujenzi wa miundo mbinu?

GE2025 Miaka yote hiyo bado CCM ina ahidi kupeleka maji vijijini, ujenzi wa miundo mbinu?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea katika mkoa wa Kigoma mgombea urasi kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan siku ya jana septemba 16, 2025 ameendelea kutoa ahadi zilezile ambazo walikuwa wanazitoa vipindi vyote vya kampeni, swali la kujiuliza mbona hizo ahadi bado wanaendelea kuziahidi vipindi vyao vyote vya kushika dola na hazijawahi kutimia.

Bararaba za Dar es salaam tu bado zinaendelea kujengwa mpaka leo na bado wanaendelea kuahidi ujenzi wa barabara, miundo mbinu ya maji vijijini, huduma za afya, maboresho katika mitaala ya elimu zimekuwa ahadi zao za wakati wote, sasa nini kitakua cha tofauti kwa wakati huu na wakati uliopita kama si ahadi za uepepo tu?

Soma pia: Hii nchi imegawanywa kuanzia kipindi cha Magu, Samia anaendeleza dhambi hiyo kuhusu ujenzi wa miundo mbinu

 
Back
Top Bottom