Miaka yote najua hela ya kumuona daktari anachukua daktari kumbe inaliwa na wanasiasa

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Nimeshangaa sana kabisa. Samia genge lake wamadai wanatoa huduma za afya bure, kumbe hata hela tunayotoa ya kumuona Daktari wanaila wao.

Miaka yote najua hela ya kumuona Daktari anachukua Daktari, kumbe inaenda Mufukoni mwa CCM na hawapewi hata shilingi kumi...

Hii nchi tunaongozwa na watu wenye roho mbaya sana.

Angalizo: Mkiona Daktari anakunywa K-Vant, msifikiri anatafuna hela yenu ya kumuona.

Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dkt. Mugisha Nkoronko
 
Nimeshangaa sana kabisa. Samia genge lake wamadai wanatoa huduma za afya bure, kumbe hata hela tunayotoa ya kumuona Daktari wanaila wao.

Miaka yote najua hela ya kumuona Daktari anachukua Daktari, kumbe inaenda Mufukoni mwa CCM na hawapewi hata shilingi kumi...

Hii nchi tunaongozwa na watu wenye roho mbaya sana
Screenshot_20260415-144632~2.png
 
Nimeshangaa sana kabisa. Samia genge lake wamadai wanatoa huduma za afya bure, kumbe hata hela tunayotoa ya kumuona Daktari wanaila wao.

Miaka yote najua hela ya kumuona Daktari anachukua Daktari, kumbe inaenda Mufukoni mwa CCM na hawapewi hata shilingi kumi...

Hii nchi tunaongozwa na watu wenye roho mbaya sana
View attachment 3589791
acha kupotoshwa na kisha nawe kupotosha wadau wa JF kindezi hivyo gentleman
 
Kiongozi sijakuelewa
Hospitali kuna ada tofauti tofauti ; mfano; kumuona Dactari, vipimo, dawa, kulazwa nk na hizo zote huingia kwenye mfuko mmoja. Dactari hulipwa kwa mujibu wa taratibu za ajira yake
Sasa sijui kwa nini unatenganisha hiyo ya kumuona dactari na kuiongelea yenyewe
Kimsingi hiyo hela inaenda hazina au inatumika kwa matumizi ya Hospitali kama walivyoelekezwa.
Sijui kwa nini una andika kuwa inaenda CCM
Mimi sijihusishi na mambo ya siasa ILA call a spade spade!
 
Unapoenda kumuona Mtu wa Umma kwanini utoe hela? Na kwanini hela Wachafue kwamba ni hela ya Daktari wasiseme ni hela ya Hazina? Na kwanini tunapoenda kwa wataaluma wengine hawasemi ni hela yao? Vipi hela ya kumuona mwalimu? Mbona hatutoi?
 
Mwenzako amekupa jibu sahihi ila wewe unakomaa na maelezo yasiyo sahihi ili kushibisha ego yako.
 
Nchi ina wajinga wengi ikiwa Jambo dogo kama hili haulielewi ni hatari
 
Unapoenda kumuona Mtu wa Umma kwanini utoe hela? Na kwanini hela Wachafue kwamba ni hela ya Daktari wasiseme ni hela ya Hazina? Na kwanini tunapoenda kwa wataaluma wengine hawasemi ni hela yao? Vipi hela ya kumuona mwalimu? Mbona hatutoi?

kwani mgonjwa anapolazwa si inaandikwa hela ya kitanda/kulazwa, mbona huambiwi ni hela ya hazina?
Au unapofanya vipimo si inaandikwa hela ya vipimo, mbona haiandikwi hela ya hazina?
Sawa na unapo muona Daktari ina andikwa hela ya kumuona dactari....na sio hela ya hazina
Tumia akili yako vizuri boss
 
Alipwa Mshahara, kwanini watu waote hela ya kumuona wakati yupo kazini kwake?

Kwamba Daktari ni msanii hadi tutoe hela kumuona. Hii ni mifumo ya unyonyaji na WIZI inayomnufaisha Samia na wote mnaomzunguka
 
Back
Top Bottom