Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Ngoja Adele,Ila umesomeka mamiiiiiIwe baada ya fumanizi au talaka cha msingi ni kutambua kwamba wanaosoma tangazo lako la kazi hawataona hisia zako ila watasoma ulichokiandika na ulivyoandika.
Kama ana shida ya kazi kweli kweli atanielewa, vinginevyo aendelee kudeka akisubiri huruma