Sio bure utakua umetumwa
Dish limecheza et eeh?
Unajiuliza ama unaniuliza?Nitumwe na nani sasa wakati ni ukweli! au ndio umetumwa
Unajiuliza ama unaniuliza?
Hongera ya nini sasa hapo?miaka zaidi ya 8
we ni nyoko... hahaaaNana ina 31M sijui ina miaka mingapi....kuna vitu hakuna msanii atakaefikisha zaidi ya miaka 50 ijayo.
Hahaha afu yule BABU WA KARIAKOO cinderela yake ina watu LAKI NNE miaka zaidi ya KUMI
sasa miaka nane 8+ viewers 3m unapongeza nini?
Au ni kisandu amekuja na I'd mpya!!!!
utuletee pia cnderela , views na miaka yake
unajua mkuu wengine hatuko humu kitimu kama unavyodhani.kwani we unaona million 3 ni wachache? poor you
Mkuu hivi kwanini unavuta bangi?!
Hata mimi nimeshangaa huu upuuzi.sasa miaka nane 8+ viewers 3m unapongeza nini?
Au ni kisandu amekuja na I'd mpya!!!!