Miaka zaidi ya 8; " Nenda Kamwambie yafikisha viewers Takribani mil 3

Miaka zaidi ya 8; " Nenda Kamwambie yafikisha viewers Takribani mil 3

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Pongezi kwa msanii wetu Diamond Hii ni hatua kubwa sana
 
Hongera ya nini sasa hapo?miaka zaidi ya 8
 
kwani we unaona million 3 ni wachache? poor you
unajua mkuu wengine hatuko humu kitimu kama unavyodhani.

Huku sio IG, usije ukafili unachokiamini wewe wote tutakiamini huku hakuna anayemshikia mwenzake mawazo tuko huru kutoa maoni/mawazo tunapoona inafaa.
 
ni msanii gani pekee bongo ambaye alifikisha views million moja kwa muda mfupi zaidi???
 
sasa miaka nane 8+ viewers 3m unapongeza nini?

Au ni kisandu amekuja na I'd mpya!!!!
Hata mimi nimeshangaa huu upuuzi.

Watu wametengebeza cover ya despacito. Ndani ya mwezi viewer zaidi ya 100m.. sasa leo viewers 3m mnaona ni big deal
 
Back
Top Bottom