ToniXrated
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,134
- 2,993
Amani iwe nanyi:
Nimepokea taarifa za kushtusha kutoka katika chanzo changu cha kuaminika nchini Misri ikieleza kuwa Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud Ibrahim Ibrahim El Khatib ni mfuatiliaji mkubwa wa mechi za Simba Sc na amekuwa akikoshwa na uchezaji wa timu ya Simba toka kocha Guardiola Mgunda kupewa jukumu la kuinoa Simba kwa muda mfupi.
Al Ahly wamekuwa na msimu mbaya kwa mwaka wa 2021/2022 mara baada ya kumaliza katika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi kuu ya misri na pia kumaliza kama mshindi wa pili katika ligi ya klabu bingwa Afrika.
Rais wa Al Ahly ana aamini kuwa Juma Mgunda pekee ndie anaweza kuirudishia makali Al Ahly kama alivyoirudishia makali Simba sc.