Mimi sijui unahanya nini hapa. Huyo wa sasa alitegemea wewe ni bikira? I believe that b4 you she had a BF and also you had GF, sasa mtu anapokuwa mbogo kisa mtu wa zamani mi huwa silelewi unless iwe kweli bado mnaliendeleza libeneke ndo utaogopa.
Kuna kitu kimoja cha ajabu sana ktk mapenzi, Ukieleza kwa mwenzi wako kuwa nilikuwa na fulani na fulani inawezekana urafiki ukaishia hapo, Ila mkidanganyana kuwa sikuwa na mpenzi, sijawahi nk huyu binaadamu anaamini kuwa ni kweli. Ukiongopa ndo salama ya kunusuru uhusiano wako kama sio ndoa. @ Bujibuji mweleze ukweli kuwa alikuwa mtu wako na pia mweleze sababu zilizoletea uhusiano wenu kufikia ukingoni. Mweleze pia lengo la yeye kutaka kufanya ufirauni anaotaka kuufanya. Kama hatoelewa ni juu yake kuamua! Ila usifiche kitu. Ni bora akaamua sasa kuliko baada ya ndoa. Kama hakuna kwa nini usimweleze ukweli?
Nenda kifua mbele na umwambie hiyo yote ni wivu tu ndo maana anajaribu kuharibu uhusiano wenu.
Kila la kheri kaka