NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 307
Haya sasa...yaleyaleeeee!Kuna mijibaba ja humu JF ina tabia mbaya kama nini, inapenda ku PM kwa lengo la ku approach. Acheni tabia mbaya.
Naombeni muache lasivyo nitaweka ID zenu hadharani.
kuna ubaya gani kutongoza au kutongozwa? sio lazima ukubali au ukatae, ni hiariyo!
Haya sasa...yaleyaleeeee!
Nashindwa kuwaelewa nyie AKINA dada...kuna mmoja alidai kwanini hapati PM kwa muda mrefu kwenye inbox yake, hadi anajisikia vibaya!
Weye unakuja na gia ingine...huh!
Kwani kuapproach ni vibaya jamani?...Si ni kujenga mahusianmo ambayo huenda baadaye yakawa positive?
Nadhani tusiogope PM, sisi ni watu wazima, tuna utashi...Once ukiona hakufai unampa live, na siyo kutunga threads...!
Sasa wa mtaani kwenu wasioijua JF unawasemelea kwa nani?...Usije ukawakimbia 'sweetheart' watarajiwa bana...kuna watu serious hapa!
Siungewajibu huko huko PM ukawajulisha kwamba hutaki??
Mi nadhANI shida kubwa iko hapa...lolz!Nime wa PM lakini wapi, then hata lugha ya ku appfroach hawana.
Problem mtu unamueleza kwamba am not interested lakini bado anaendelea.
Its boring bana.
Kuna mijibaba ja humu JF ina tabia mbaya kama nini, inapenda ku PM kwa lengo la ku approach. Acheni tabia mbaya.
Naombeni muache lasivyo nitaweka ID zenu hadharani.
Haya sasa...yaleyaleeeee!
Nashindwa kuwaelewa nyie AKINA dada...kuna mmoja alidai kwanini hapati PM kwa muda mrefu kwenye inbox yake, hadi anajisikia vibaya!
Weye unakuja na gia ingine...huh!
Kwani kuapproach ni vibaya jamani?...Si ni kujenga mahusianmo ambayo huenda baadaye yakawa positive?
Nadhani tusiogope PM, sisi ni watu wazima, tuna utashi...Once ukiona hakufai unampa live, na siyo kutunga threads...!
Sasa wa mtaani kwenu wasioijua JF unawasemelea kwa nani?...Usije ukawakimbia 'sweetheart' watarajiwa bana...kuna watu serious hapa!
Not Enough: Hivi si ni wewe ulikuwa unamzimia mume wa mtu wa jirani?
Ukaingia na kila gia ukakwama na kuja kutaka ushauri hapa?
Sasa yule Mr. vipi autangazie uma vile vile jinsi ulivyokuwa unmpigia speed?
Follow the Golden Rule; Usiyopenda Kufanyiwa Usiwatendee Wenzako. Na unayopenda Kufanyiwa Watendee Wenzako.
Simple.
Respect NE.
Mkuu, hapo kwenye RED umempiga nyoka kichwani!....Kweli JF kuna watu wana photographic memory!Not Enough: Hivi si ni wewe ulikuwa unamzimia mume wa mtu wa jirani?