Mibaba ya jf ina tabia mbaya

Mibaba ya jf ina tabia mbaya

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
596
Reaction score
307
Kuna mijibaba ja humu JF ina tabia mbaya kama nini, inapenda ku PM kwa lengo la ku approach. Acheni tabia mbaya.

Naombeni muache lasivyo nitaweka ID zenu hadharani.
 
kuna ubaya gani kutongoza au kutongozwa? sio lazima ukubali au ukatae, ni hiariyo!
 
What is the problem with that? Ndio mambo ya dunia yetu yalivyo labda uamue kuacha kujihusisha na mambo ya kijamii kama haya ya mitandao na mengineyo....otherwise akili mu kichwa na sio kuanza kuanzisha vita ambavyo sidhani kama ushindi utapatikana. The best way ni ku ignore,what do you think?
 
Kuna mijibaba ja humu JF ina tabia mbaya kama nini, inapenda ku PM kwa lengo la ku approach. Acheni tabia mbaya.

Naombeni muache lasivyo nitaweka ID zenu hadharani.
Haya sasa...yaleyaleeeee!
Nashindwa kuwaelewa nyie AKINA dada...kuna mmoja alidai kwanini hapati PM kwa muda mrefu kwenye inbox yake, hadi anajisikia vibaya!
Weye unakuja na gia ingine...huh!
Kwani kuapproach ni vibaya jamani?...Si ni kujenga mahusianmo ambayo huenda baadaye yakawa positive?
Nadhani tusiogope PM, sisi ni watu wazima, tuna utashi...Once ukiona hakufai unampa live, na siyo kutunga threads...!
Sasa wa mtaani kwenu wasioijua JF unawasemelea kwa nani?...Usije ukawakimbia 'sweetheart' watarajiwa bana...kuna watu serious hapa!
 
Mi ndo kwanza nina miaka 30, je nami ni miongoni mwa 'mijibaba' ya JF?
 
Siungewajibu huko huko PM ukawajulisha kwamba hutaki??
 
Haya sasa...yaleyaleeeee!
Nashindwa kuwaelewa nyie AKINA dada...kuna mmoja alidai kwanini hapati PM kwa muda mrefu kwenye inbox yake, hadi anajisikia vibaya!
Weye unakuja na gia ingine...huh!
Kwani kuapproach ni vibaya jamani?...Si ni kujenga mahusianmo ambayo huenda baadaye yakawa positive?
Nadhani tusiogope PM, sisi ni watu wazima, tuna utashi...Once ukiona hakufai unampa live, na siyo kutunga threads...!
Sasa wa mtaani kwenu wasioijua JF unawasemelea kwa nani?...Usije ukawakimbia 'sweetheart' watarajiwa bana...kuna watu serious hapa!

Problem mtu unamueleza kwamba am not interested lakini bado anaendelea.
 
Nime wa PM lakini wapi, then hata lugha ya ku appfroach hawana.
Mi nadhANI shida kubwa iko hapa...lolz!
Kuna mdada mmoja alisema..namnukuu"
"..Mtu aNAkuApproach, hana hata uwezo wa kukulipia DSTV, hana hata uwezo wa full tank, kodi ya nyumba wala airtime"..sa ndo mtu gani huyo?

Kama kuna namna ambayo unataka wakuapproach wawekee hadharani!
 
Kuna mijibaba ja humu JF ina tabia mbaya kama nini, inapenda ku PM kwa lengo la ku approach. Acheni tabia mbaya.

Naombeni muache lasivyo nitaweka ID zenu hadharani.

Not Enough: Hivi si ni wewe ulikuwa unamzimia mume wa mtu wa jirani?

Ukaingia na kila gia ukakwama na kuja kutaka ushauri hapa?

Sasa yule Mr. vipi autangazie uma vile vile jinsi ulivyokuwa unmpigia speed?

Follow the Golden Rule; Usiyopenda Kufanyiwa Usiwatendee Wenzako. Na unayopenda Kufanyiwa Watendee Wenzako.

Simple.

Respect NE.
 
Haya sasa...yaleyaleeeee!
Nashindwa kuwaelewa nyie AKINA dada...kuna mmoja alidai kwanini hapati PM kwa muda mrefu kwenye inbox yake, hadi anajisikia vibaya!
Weye unakuja na gia ingine...huh!
Kwani kuapproach ni vibaya jamani?...Si ni kujenga mahusianmo ambayo huenda baadaye yakawa positive?
Nadhani tusiogope PM, sisi ni watu wazima, tuna utashi...Once ukiona hakufai unampa live, na siyo kutunga threads...!
Sasa wa mtaani kwenu wasioijua JF unawasemelea kwa nani?...Usije ukawakimbia 'sweetheart' watarajiwa bana...kuna watu serious hapa!

Hiyo sentensi ya mwisho... safi sana...!!!
 
Not Enough: Hivi si ni wewe ulikuwa unamzimia mume wa mtu wa jirani?

Ukaingia na kila gia ukakwama na kuja kutaka ushauri hapa?

Sasa yule Mr. vipi autangazie uma vile vile jinsi ulivyokuwa unmpigia speed?

Follow the Golden Rule; Usiyopenda Kufanyiwa Usiwatendee Wenzako. Na unayopenda Kufanyiwa Watendee Wenzako.

Simple.

Respect NE.

Hapo kwenye red IMETULIA & IMEJITOSHELEZA.
 
Not Enough: Hivi si ni wewe ulikuwa unamzimia mume wa mtu wa jirani?

Ukaingia na kila gia ukakwama na kuja kutaka ushauri hapa?

Sasa yule Mr. vipi autangazie uma vile vile jinsi ulivyokuwa unmpigia speed?

Follow the Golden Rule; Usiyopenda Kufanyiwa Usiwatendee Wenzako. Na unayopenda Kufanyiwa Watendee Wenzako.

Simple.

Respect NE.
Mkuu, hapo kwenye RED umempiga nyoka kichwani!....Kweli JF kuna watu wana photographic memory!
Halafu nikizingatia kuwa wewe ndo mtaalamu ya saikolojia ya malavidavi, (ref...cheating et al), nakuaminia.
Mpe darsa dada yetu mkuu!
 
Not Enough mama, si ndio wewe uliyesema hakuna ustaarabu kwenye ngono? Mbona unalalamika tena mpenzi? Si ndio wewe uliyekuwa unamtamani mume wa mtu? Kwa nini sasa unawaona wabaya. Mi navyojua palipo na mzoga ndipo wanapokutanika tai.

Pole lakini nadhani wewe mwenyewe ndo chanzo cha matatizo yako!!
 
Problem mtu unamueleza kwamba am not interested lakini bado anaendelea.

Interesting . . .

Katika maisha hujawahi kuona mtu anatongozwa hata miezi 6 au zaidi lakini hataki baadaye anakuja kukubali?

It is all in your head. Una uhuru wa kutokujibu.

Pia pitia sheria za JF na angalia nini zinasema.
 
Yaelekea una mvuto hadi unachomozea kwenye tarakilishi zao, au. Nami sasa umeamsha udadisi wangu
 
Back
Top Bottom