Mibaba ya jf ina tabia mbaya

Mibaba ya jf ina tabia mbaya

Not Enough mama, si ndio wewe uliyesema hakuna ustaarabu kwenye ngono? Mbona unalalamika tena mpenzi? Si ndio wewe uliyekuwa unamtamani mume wa mtu? Kwa nini sasa unawaona wabaya. Mi navyojua palipo na mzoga ndipo wanapokutanika tai.

Pole lakini nadhani wewe mwenyewe ndo chanzo cha matatizo yako!!

LD, umeniacha hoi nilipoweka colours.
 
Mkuu, hapo kwenye RED umempiga nyoka kichwani!....Kweli JF kuna watu wana photographic memory!
Halafu nikizingatia kuwa wewe ndo mtaalamu ya saikolojia ya malavidavi, (ref...cheating et al), nakuaminia.
Mpe darsa dada yetu mkuu!

Mkuu habari za A-Town . . .

Tuko pamoja sana Mkuu wangu.

Ngoja tuendelee kuelimishana tu . . . haya ni mambo ya kawaida.

Heshima mbele sana JP.

Allien.
 
Kuna mijibaba ja humu JF ina tabia mbaya kama nini, inapenda ku PM kwa lengo la ku approach. Acheni tabia mbaya.

Naombeni muache lasivyo nitaweka ID zenu hadharani.

Did you find this post helpful? |
icon1.png
Namzimia mume wa jirani...(by NOT ENOUGH)

Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
 
Not Enough mama, si ndio wewe uliyesema hakuna ustaarabu kwenye ngono? Mbona unalalamika tena mpenzi? Si ndio wewe uliyekuwa unamtamani mume wa mtu? Kwa nini sasa unawaona wabaya. Mi navyojua palipo na mzoga ndipo wanapokutanika tai.

Pole lakini nadhani wewe mwenyewe ndo chanzo cha matatizo yako!!

You are missing the point, hapa nimeongelea PM na siyo ustarabu kwenye ngono.
 
Mkuu habari za A-Town . . .

Tuko pamoja sana Mkuu wangu.

Ngoja tuendelee kuelimishana tu . . . haya ni mambo ya kawaida.

Heshima mbele sana JP.

Allien.
Mkuu wetu,
A-Town kuko kamili...
Tutalianzisha very soon huku...NA KUINGIA KWENYE LANE' YA hISTORY ya nchi hii!

Stay tuned!
 
Did you find this post helpful? |
icon1.png
Namzimia mume wa jirani...(by NOT ENOUGH)

Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.

PJ kaka naona umeamua kukonect them dots!!!!
 
Did you find this post helpful? |
icon1.png
Namzimia mume wa jirani...(by NOT ENOUGH)

Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.

Mkuu JP, siyo hiyo tu. Angalia na hizi:

1. Natafuta Mpenzi wa Kunioa: https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/94722-natafuta-mpenzi-wa-kunioa.html
Sasa matangazo katoa yeye; then prospects wanaapply yeye analalamia. then:

2. Sikumwona Mr. siku ya Valentine: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/110958-sikumwona-mr-siku-ya-valentine-day.html
Cant believe anaye Mr. lakini bado anatafuta Mume wa Kumuoa na bado anatamani mume wa Mtu. Kisha hii ndo funga kazi:

3. Siwezi pitisha siku bila Mwanamume: https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/94073-siwezi-pitisha-siku-bila-mwanaume.html
Hivi nani wa kulaumiwa?

Maji hufuata mkondo.

Respect.
 
Asante sana Mkuu, not enough hebu ifuatilie hiyo namba tatu halafu unambie vizuri.
 
Mkuu wetu,
A-Town kuko kamili...
Tutalianzisha very soon huku...NA KUINGIA KWENYE LANE' YA hISTORY ya nchi hii!

Stay tuned!

Kamanda; tuko pamoja sana.

Ukombozi wa kweli wa Watanzania, utaanzia A-Town.

Wino wa Utangulizi ulishamwagwa.

Full support kutoka kwa wadau tukitakiwa.

Respect sana.
 
Problem mtu unamueleza kwamba am not interested lakini bado anaendelea.

The best way kulalamika kwa moderators. They are here for that purpose. By the way vipi na yule mume wa mtu unayemzimia? Huoni na wewe unamboa wakati hayuko interested.
 
Naona PJ umeamua kunichimba haswa.

Tunajaribu kuweka kumbukumbu sawa ili kusifanyike maKOSA next time!

Embu soma hii hapa, tena iko LIVE muda huhu huu hapa ndani!:

Halafu wewe unatumiwa PM unaleta za kuleta!...huh!..Unataka Gunia la Chawa?

user-online.png
mushijack

Yesterday 10:01 PM
#1
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Did you find this post helpful? |

icon1.png
Nahitaji mume 33-40 age

Mimi ni msichana tayari 32yrs sijawahi kuolewa na sina mtoto. Ninahitaji mume Mkristo tayari kupima VVU pia awe amesoma angalau kidato cha sita, awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe. Mimi nina elimu ya Advance diploma na nimeajiriwa na kampuni fulani hapa Dar es salaam. Samahani najua wengi mtaniponda nakadhalika lakini mimi niko serious kabisa nimeshachoka maisha ya upweke na ubusy wa kazi kiasi kwamba hata muda wa kukutana na watu nakosa. Sitakasirika kwa wale watakaoniponda ila kwa wale walioko serious ni tumie message kwenye profile yangu then tutaendelea kuwasiliana. Naomba tafadhali uelewe niko serious sana kuhusu hili swala na siyo kwamba nina tabia mbaya au labda muhuni au mi mwenyewe sina mvuto hapana, nadhani kwa kadri tutakavyozidi kufahamiana utanifahamu na kunielewa vizuri. Niko nasubiri Private message (PM) kwa wale tu walioko serious karibuni.Hapana dadake..
 
Tumemwomba Maxence awatengee jukwaa lao la mambo ya Dating ili mambo yote wayamalizie huko.

Hope this might be possible.
 
Mkuu JP, siyo hiyo tu. Angalia na hizi:

1. Natafuta Mpenzi wa Kunioa: https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/94722-natafuta-mpenzi-wa-kunioa.html
Sasa matangazo katoa yeye; then prospects wanaapply yeye analalamia. then:

2. Sikumwona Mr. siku ya Valentine: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/110958-sikumwona-mr-siku-ya-valentine-day.html
Cant believe anaye Mr. lakini bado anatafuta Mume wa Kumuoa na bado anatamani mume wa Mtu. Kisha hii ndo funga kazi:

3. Siwezi pitisha siku bila Mwanamume: https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/94073-siwezi-pitisha-siku-bila-mwanaume.html
Hivi nani wa kulaumiwa?

Maji hufuata mkondo.

Respect.

Wahenga walinena,
FIMBO YA MUONGO-ni fupi...
 
Respect mkuu. Kwa kuongezea point yako: The person seeking relief must not himself/herself guilty of illegal or immoral conduct with regard to the same act which would disentitle him/her to any assistance of JF members. Whoever seeking help must come with clean hands.

Respect
 
Back
Top Bottom