Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Nimepata fursa ya kutembelea ile recreation area mara mbili 3 ila kilichonishangaza of all the times ni huduma zao haziendani na umaarufu wa hilo jina lao.
Ukienda agiza menu basi unaweza maliza hata lisaa na nusu mpaka mawili hujaletewa diko esp. yule mdudu spesho hali inayopelekea mpaka hamu inakata au njaa inakata kabisa. Ukitaka fruit juice nayo kipengele hadi koo likauke.
Hii kadhia inanipata mimi tu au wenzangu mliofika pale mambo yanakuwagaje?