Heee imekua kama tips [emoji1]Ilinikuta pia wala hujakosea. Nilisubiri ugali samaki kwa saa zima. Halafu mbaya zaidi mhudumu baada ya kunipa huduma nikampa hela akatokomea na chenji. So nikamsubiri kwa nusu saa nyingine. Shenzzz kabisa
Dah, pa kibwege kweli yani sema nina mwanangu mtu wa kupenda maua sana ndio hupapendelea pale. Ila huduma mbovuIlinikuta pia wala hujakosea. Nilisubiri ugali samaki kwa saa zima. Halafu mbaya zaidi mhudumu baada ya kunipa huduma nikampa hela akatokomea na chenji. So nikamsubiri kwa nusu saa nyingine. Shenzzz kabisa
Nadhani hakuna meneja. Kama yupo basi anakuwepo mida yenye wateja wengi kama weekends. Sisi wa katikati ya wiki tunapigwa matukio balaa [emoji3][emoji3][emoji3]Dah, pa kibwege kweli yani sema nina mwanangu mtu wa kupenda maua sana ndio hupapendelea pale. Ila huduma mbovu
Mkuu Kuna maua sana hapo eeeeh!!Dah, pa kibwege kweli yani sema nina mwanangu mtu wa kupenda maua sana ndio hupapendelea pale. Ila huduma mbovu
We kasie so umeamia na na "shoni" maji matitu siku hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3577]Poleni, siku mkipata hamu ya kula kitimoto safi mnitaarifu mapemaa niwapikie ndani ya dakika 45 unakula msosi wako ukiwa wa motooo.
1. Nyama ya kitimoto uje nayo mbichi, viungo nnavyo ntaipika mwenyewe vile unataka ipikwe.
2. Uje na vinywaji vyako na utajihudumia mwenyewe maana mie ntakiwa busy jikoni napika.
3. Kwa wakati mmoja msizidi watu 4 maana sehemu za kukaa na meza ya chakula ni ya watu 5 tuu.
4. Huduma ya mziki au kuangalia mpira au kusoma vitabu itapatikana
5. Location, mbagala maji matitu.
Ni naomba radhi kwa niaba..Nimepata fursa ya kutembelea ile recreation area mara mbili 3 ila kilichonishangaza of all the times ni huduma zao haziendani na umaarufu wa hilo jina lao.
Ukienda agiza menu basi unaweza maliza hata lisaa na nusu mpaka mawili hujaletewa diko esp. yule mdudu spesho hali inayopelekea mpaka hamu inakata au njaa inakata kabisa. Ukitaka fruit juice nayo kipengele hadi koo likauke.
Hii kadhia inanipata mimi tu au wenzangu mliofika pale mambo yanakuwagaje?
Ooh..sawa.. ahsante Sana 😊Iko Sinza mamii, ni Open Bar
We kasie so umeamia na na "shoni" maji matitu siku hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3577]
Sawa kasie matataAaahahahahaa shoni kafa kaozaaa anapekecha maji matitu huku charambe eehheheee
Halafu nilisahau.....
6. Nyama isiwe chini ya kg 3, hata kama mtu atakuja pekeyake. Dhambi sana kuwasha kuni kwa ajili ya nusu kilo au kilo 2
7. Huduma haina malipo yeyote zaidi ya ustaarabu wa kutokuvunja glasi zangu, kutokuvunja sahani zangu, kutojikojolea na kutokumwagamwaga vinywaji sakafuni.
Ngoja nikaongezee haya pale juu. [emoji12]
Sawa kasie matata