MiBS pale ni vipi?

Hahahah utatuua mama, 3 ni hatari labda iwe kavu

Weeeh, hebu nione tumbo lako nithaminishe......

Ila msijali, ikibaki nawafungia kwenye kontena mnaondoka nayo.

Pishi lolote mkitaka mie napika.

Napenda kupikia watu wale washibe.
 
Weeeh, hebu nione tumbo lako nithaminishe......

Ila msijali, ikibaki nawafungia kwenye kontena mnaondoka nayo.

Pishi lolote mkitaka mie napika.

Napenda kupikia watu wale washibe.
Hatushindwiii
 
wiki ilopita nilienda pale ilisubir msosi mpaka nikaamua kusepa sababu wale ni wapuuz sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…