Michael B Jordan na Taraj P Henson wanauhusiano gani na kiswahili?

Majina ya nyota hawa wawili wa hollywood yananifanya niwaze kwa sauti kutokana na kuwa na uhusiano na lugha ya kiswahili

Michael B Jordan ambae jina lake limekuwa likifananishwa na mcheza basketball maarufu Michael Jordan, amefunguka akisema kuwa jina lake yeye ni Michael B Jordan, herufi B ikiwa inasimama badala ya jina la kiswahili Bakari likiwa na maana ya 'noble promise'

Anasema " B stands for Bakari, it's Swahili and it means noble promise"

Tuje kwa Taraj P Henson ambae jina lake kamili ni Taraj Penda Henson.

wikipedia inaandika kuwa "Her First and middle names are of swahili origin, Taraj means 'hope' and Penda means 'love' "
'_
Nawazaje kwa sauti?
Ni kuwa huenda watu hawa wazazi wao au bibi zao walihamia America kutokea East Africa(hasa Tanzania) na wakabadilisha identity zao na kuwa za huko maana majina yao ya kiswahili yananikanganya, tena Michael B Jordan ana Dada aitwae Jamila ( jina limekaa kiswahili kabisa), dictionary.com inafafanua jina Jamila kuwa " a female given name from a Swahili word meaning 'beautiful'

Kiukweli hawa Waamerika wenye majina ya kiswahili wamenikanganya kunifanya Niquestion originality identity zao.
wakati nipo Minesota nilishangaa sana kukuta kuna mtaa unaitwa Makonde,nilipouliza nikaambiwa kuna jamaa alikuwa anauza vinyago hapo anavitoa bongo na ana waambia kuwa vinatengenezwa na wamakonde....
 
Nilimfurahia kwenye Jumping The Broom
samaritan,ni ya siku mingi hiyo ila nimeisahau hii si ndo family 2 zenye mila tofauti wanashindana,am trying to recal namkumbuka bride alikuwa white
 
Huyu hapa anaitwa Juma Suluhu Sharobaro, inadaiwa ni Mswahili tena Mzaramo
Screenshot_2018-05-20-22-19-39-1.png
 
wakati nipo Minesota nilishangaa sana kukuta kuna mtaa unaitwa Makonde,nilipouliza nikaambiwa kuna jamaa alikuwa anauza vinyago hapo anavitoa bongo na ana waambia kuwa vinatengenezwa na wamakonde....
Hahah huu mtaa upo mji gani mkuu?

Ila na wewe kwenda Minnesota kweli...hiyo state naionaga ya wakimbizi...wengi kutoka Congo, Rwanda, Burundi.

Halafu hali ya hewa sasa...snow mpaka April!!!
 
samaritan,ni ya siku mingi hiyo ila nimeisahau hii si ndo family 2 zenye mila tofauti wanashindana,am trying to recal namkumbuka bride alikuwa white

Ni hiyo hiyo, mama yake bwana harusi alikua mtata hatari. Baadae ndoa ilifungwa japo hapo katikati tafrani haikua ndogo.
 
Kumbe na mimi sijapoteza memory tena wazazi wake bwana harusi walikuwa wametengana,na baba wa bwana harusi alikuwa kiwembe kuna part ya viagra,halafu baba wa bwana harusi wakawa wanakomoana na baba wa bibi harusi,harusi ilikuwa inapangwa kwa kukomoana siku waliyoonana hao wazazi ni shida ilikuwa

Uko vizuri amu kumbukumbu haijachoka bado.

Mie tatizo majina yangu ya kiingereza yote hadi la babu, sasa wengi wakisikia wanajua itakua ngozi nyeupe, ukitokea unashangaa watu wanacheka..mbaya zaidi nywele nazo za kipilipili.

Lakini kuna mphilipino nilikutana nae anaitwa Senga, hayo si majina ya Kilimanjaro au wenyewe ni Asenga?
 
Umeona eee,kuna taraji na kuna yule sijui nani nimemsahau jina kwenye how did i get married yupo ana mdomo sana hata kwenye empire yupo ndo dadake taraj,kwenye desperate house wives yupo yaani ni kivuruge jamani,hawa mentor na don c wasitutoea kwenye mstari wale ni ndugu zetu kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha Ha majina nayo yanaweza kuchangia jinsi ulivyo we si unaona wewe ni mzungu wa roho
Uko vizuri amu kumbukumbu haijachoka bado.

Mie tatizo majina yangu ya kiingereza yote hadi la babu, sasa wengi wakisikia wanajua itakua ngozi nyeupe, ukitokea unashangaa watu wanacheka..mbaya zaidi nywele nazo za kipilipili.

Lakini kuna mphilipino nilikutana nae anaitwa Senga, hayo si majina ya Kilimanjaro au wenyewe ni Asenga?
 
Majina ya nyota hawa wawili wa hollywood yananifanya niwaze kwa sauti kutokana na kuwa na uhusiano na lugha ya kiswahili

Michael B Jordan ambae jina lake limekuwa likifananishwa na mcheza basketball maarufu Michael Jordan, amefunguka akisema kuwa jina lake yeye ni Michael B Jordan, herufi B ikiwa inasimama badala ya jina la kiswahili Bakari likiwa na maana ya 'noble promise'

Anasema " B stands for Bakari, it's Swahili and it means noble promise"

Tuje kwa Taraj P Henson ambae jina lake kamili ni Taraj Penda Henson.

wikipedia inaandika kuwa "Her First and middle names are of swahili origin, Taraj means 'hope' and Penda means 'love' "
'_
Nawazaje kwa sauti?
Ni kuwa huenda watu hawa wazazi wao au bibi zao walihamia America kutokea East Africa(hasa Tanzania) na wakabadilisha identity zao na kuwa za huko maana majina yao ya kiswahili yananikanganya, tena Michael B Jordan ana Dada aitwae Jamila ( jina limekaa kiswahili kabisa), dictionary.com inafafanua jina Jamila kuwa " a female given name from a Swahili word meaning 'beautiful'

Kiukweli hawa Waamerika wenye majina ya kiswahili wamenikanganya kunifanya Niquestion originality identity zao.
Dunia ni moja usiogope sana
 
Elia mwairosi,,,rick ross
lidia mwaigaga..lady gaga
kanyetile mwaiwest alafu wote walitoka unyachusan
hata rick ross sio jina lake halisi ni jina la doni mmja iv marekani uko jamaa katumia tuu na rick ross analimpa pesa huyo jamaa hili alitumie
 
Hahah huu mtaa upo mji gani mkuu?

Ila na wewe kwenda Minnesota kweli...hiyo state naionaga ya wakimbizi...wengi kutoka Congo, Rwanda, Burundi.

Halafu hali ya hewa sasa...snow mpaka April!!!
hahahahahaaa
 
Hafai na ukimkuta scene ya huruma au masikitiko unasikitika halafu unaona kama vile kapwaya
Na ukweli wenyewe ndo huo! Na ingawaje wanasema mwigizaji mzuri ana-fit character yoyote lakini ukweli ni kwamba kila mwigizaji anakuwa na character anayo-fit zaidi!

Uchizi uchizi, uchakaramu, mdomo mdomo na mengine kama hayo ndiyo hasa character anayoweza kuitendea haki kwa 99%
 
Back
Top Bottom