Michael B Jordan na Taraj P Henson wanauhusiano gani na kiswahili?


Talib Green aka Talib Kweli mwanae anaitwa Amani Fela Green..

Ina maana naye ni mswahili mwenzio?mara nyingine majina hutokana na mtu kuvutiwa na maana ya jina husika au culture ya sehemu husika.
Hao black Americans wengi wao hawajijui kama asili yao ni mashariki,magharibi au kusini mwa afrika so wanaokotaokota tu majina kila wakiona wamechoshwa na majina ya slave masters wa babu zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…