weder Bremen hiyo ikiwa moto Sana jamaa ndo captain plus kina ozil enzi hizo....ilikiwa moto Sana mkuu. Shukrani kwa kumbukumbu nzuri hiiTosten Frings was the best ever!
Kila weekend tunapiga nae pool table pale Kona ya Bwiru Mwanza. Huwa anatusimulia soka lao mpaka rahaTanzania kulikuwa na Mtu Akiitwa Fumo Felician zake ilikuwa anapiga mashuti mpira unaenda nyavuni hadi nyavu zinachanika... sijui ilikuwa Nyavu mbovu au ukali tu wa mashuti
Patrick Berger, Ditiman Hamman, Tony Yeboh, Roberto Callos, Adrian Mutu, Jimy Floyd Hasenbank,Paulo Shule,Steve Raid,StiveGerald ao wanapiga Thunder Bolt sio vijishut vya akina Ballack.Tangu nimeanza kushuhudia kabumbu miaka ya 1993 mpaka leo nadiriki kusema hakuna mcheza mpira aliyejaaliwa kupiga mashuti kama Michael Ballack. Mjerumani huyu hana mpinzani kabisa, je tunakubaliana wakuu kwa hili?
Weder Bremen ya akina Claudio Pizarroweder Bremen hiyo ikiwa moto Sana jamaa ndo captain plus kina ozil enzi hizo....ilikiwa moto Sana mkuu. Shukrani kwa kumbukumbu nzuri hii
Hugo AlmeidaWeder Bremen ya akina Claudio Pizarro
Wazee wa loose ball
1. Lampard
2. Paul Scholes
Hawa jamaa walikuwa noumar....
weder Bremen hiyo ikiwa moto Sana jamaa ndo captain plus kina ozil enzi hizo....ilikiwa moto Sana mkuu. Shukrani kwa kumbukumbu nzuri hii
Tanzania kulikuwa na Mtu Akiitwa Fumo Felician zake ilikuwa anapiga mashuti mpira unaenda nyavuni hadi nyavu zinachanika... sijui ilikuwa Nyavu mbovu au ukali tu wa mashuti
Mi bana kwenye mashuti bado ni mfuasi mtiifu wa zile ngoma tatu pale England,Tangu nimeanza kushuhudia kabumbu miaka ya 1993 mpaka leo nadiriki kusema hakuna mcheza mpira aliyejaaliwa kupiga mashuti kama Michael Ballack. Mjerumani huyu hana mpinzani kabisa, je tunakubaliana wakuu kwa hili?