Michael Ballack ndiye mpiga mashuti bora kwenye mchezo wa soka

Michael Ballack ndiye mpiga mashuti bora kwenye mchezo wa soka

Roberto Carlos alifanya wale ball boys kuambiwa wawe makini na mipira aliyokuwa anaipiga, Riise aliwahi mtengua mtu mguu kwa nguvu ya shuti lake
Ye ni mmoja wapo ila kwangu mm baba yao ni roberto carlo, kidogoo na jon arne risee hawa watu ukiona wamekunjuka halaf on target hesabu mengine
 
Frings kama si wa kwanza ni wa pili
siungi mkono hoja....
Roberto Carlos,
Wayne rooney,
Paul Scholes,
Frank Lampard,
Lukas Podolsk....
Hao watu ni habari nyingine..... Kuna na huyu Christiano Ronaldo pia.
 
Juninho Pernambucano namba 1.

Nenda youtube alafu leta mrejesho hapa

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Peruzi kwenye kabrasha utagundua anayeshikilia rekodi ya kupiga shuti lenye 'spidi' kali ni Roberto Carlos, lakini kwa mtizamo wangu Ariel Batistuta(Bati goals) kwa yale mashuti yake yaliyokuwa mpaka yanatingisha besela hadi unaona kama goli linakaribia kung'oka ndiyo kiboko ya wote.
Shuti kali ambalo linashika rekodi lilipigwa na Sunday Oliseh kwenye game ya kombe la dunia 1998, Nigeria vs Spain. Alitandika mkwaju mkali balaaaaaah.

Game iliisha kwa ushindi wa 3-2. Naija wakishinda, wakitoka nyuma kusawazisha mabao ya Raul branco ya kipindi cha kwanza, kabla ya Oliseh kutandika mkwaju mkali na wenye speed ya 700+kph
 
Back
Top Bottom