Hahaha redio tanzania imekudanganya sana..Joseph Kaniki Golota Kumbakumba
Mkuu unaeza funguka kidogo mkuu?Ila jamaa alimtelekeza bibi(nyanya) yake aliyemlea aisee
But me katika memory zangu Huyo Fumo ndio nilisimuliwa labda kama muathiaji wangu hakuwa sawa au nilimuelewa vibaya...Kajora Bhana
Humjui BASTIAN SCHWEINSTIEGERTangu nimeanza kushuhudia kabumbu miaka ya 1993 mpaka leo nadiriki kusema hakuna mcheza mpira aliyejaaliwa kupiga mashuti kama Michael Ballack. Mjerumani huyu hana mpinzani kabisa, je tunakubaliana wakuu kwa hili?
Mbona umechanganya madesaHata David Becham alikuwa mzuri sana kwenye mipira ya adhabu
Clalance cedorfuTangu nimeanza kushuhudia kabumbu miaka ya 1993 mpaka leo nadiriki kusema hakuna mcheza mpira aliyejaaliwa kupiga mashuti kama Michael Ballack. Mjerumani huyu hana mpinzani kabisa, je tunakubaliana wakuu kwa hili?
Acha kupamba mavi mauahujamuona Adriano Mutu wa Inter Milan
hakuna alama aliyoacha duniani.Unamfahamu LUCAS PODOLSK? mpoland aliyehamia ujerumani kijiji cha Colgne?
uyu kukatika labdaWilfred bonny.ivory coast