[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona umechanganya madesa
Ye ni mmoja wapo ila kwangu mm baba yao ni roberto carlo, kidogoo na jon arne risee hawa watu ukiona wamekunjuka halaf on target hesabu mengine
Much respect kwakeTosten Frings was the best ever!
siungi mkono hoja....
Roberto Carlos,
Wayne rooney,
Paul Scholes,
Frank Lampard,
Lukas Podolsk....
Hao watu ni habari nyingine..... Kuna na huyu Christiano Ronaldo pia.
Yule alikipiga fainali ya 2002?.Alikuwa anabana nywele hivi?
ukiona mavi kwenye maua jua mbolea hiyoAcha kupamba mavi maua
BalaaaaMkuu ndio huyo huyo, kuna goli alifunga akiwa katikati mwa uwanja
Ye ni mmoja wapo ila kwangu mm baba yao ni roberto carlo, kidogoo na jon arne risee hawa watu ukiona wamekunjuka halaf on target hesabu mengine
Shuti kali ambalo linashika rekodi lilipigwa na Sunday Oliseh kwenye game ya kombe la dunia 1998, Nigeria vs Spain. Alitandika mkwaju mkali balaaaaaah.Peruzi kwenye kabrasha utagundua anayeshikilia rekodi ya kupiga shuti lenye 'spidi' kali ni Roberto Carlos, lakini kwa mtizamo wangu Ariel Batistuta(Bati goals) kwa yale mashuti yake yaliyokuwa mpaka yanatingisha besela hadi unaona kama goli linakaribia kung'oka ndiyo kiboko ya wote.
hujamuona Adriano Mutu wa Inter Milan
Steven Gerrard
Paul Scholes
Frank Lampard
Inawezekana kabisa haujamuona balaa lake kabla hajaanza madawaAcha kupamba mavi maua