Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Nshapata story acha nikatambe kijiweni.
Source: niamini mimi bro
Source: niamini mimi bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo.Kama ulikuwa hujui basi ni hivi aliyekuwa muimbaji na mfalme wa pop duniani Michael Jackson alipanga mipango ili aweze kuishi miaka 150 hapa duniani
Baadhi ya mipango hiyo ni
- Aliajiri madaktari 12 ambao walikuwa wanampima kila siku kuanzia nywele hadi kucha za vidole vya miguu
- Chakula chake kila siku kilikuwa kinaenda fanyiwa majaribio na kupimwa kabla ya kula
- Aliajiri watu 15 ambao walikuwa wanampangia ratiba ya mazoezi na kumsimamia namna bora ya kufanya mazoezi
- Kitanda alichokuwa analalia kilikuwa na teknolojia ya kuthibiti oxygen
- Waliandaliwa watu maalum kwa ajili ya kumtolea vitu ndani ya miili yao kama vikiitajika kwa mfano figo .....na watu hao walikuwa wakilindwa na kuhifadhiwa na yeye
- Hizo zote zilikuwa jitihada na mipango ya kuishi miaka 150
-Mwaka 2009 tar 25 mwezi wa 6 ...moyo wake ulisimama ghafla kufanya kazi .....madaktari wake 12 walishindwa kumtibu
-Wakaongezwa madaktari wengine mabinhwa kutoka California na Los Angels lakini pia walishindwa
-Mtu ambaye kila hatua aliyokuwa anaipiga iliongozana na jopo la madaktari bingwa 12 Kwa miaka 25 mfululizo .....lengo lake ni kutaka kuishi miaka 150 lakini alishindwa licha ya jitihada zake
-Tar hiyi 25 mwezi wa 6 mwaka 2009 Michael Jackson alifariki dunia akiwa na miaka 50 TU
TUNAISHI KWA MIAKA TULIYOKADIRIWA NA MUNGU....HATA TUKIFANYA VIPI MUNGU AKIPENDA KUMCHUKUA MJA WAKE HAKUNA KITAKACHOSAIDIA.....
ThibitishaUongo.