Michael Jackson before he chose to bleach and change his nose in order to look like a poor white woman

MAradhi ya kuhusudu Uzungu kupitiliza ndio yaliomsibu. Moja ya Tatizo sugu la watu weusi ni kuwa huanza kujikataa wenyewe halafu baadae wanajitia kulialia na ubaguzi
 
Tujuze mkuu
Ukiachana na vitiligo vilivyommaliza ngozi yake mpaka akaamua bora ajiblich, maiko alipata ajali ya moto stejini kwenye tamasha la pepsi hii ilimpelekea kutokuota nywele na ndo chanzo cha kuvaa nywele bandia.
pia alipata ajali iliyomsababishia kuvunjika mfupa wa pua walimwengu wakasema anachonga pua, simtetei ni uhalisia japo mzungu anapindisha na sisi tunafata anachosema mzungu kumchafua makusudi
 
Mwaga data

Kabla ya ajali ya moto alishafanya rhinoplasty
 
Kabla ya ajali ya moto alishafanya rhinoplasty, inshort mj hakua comfortable na pua yake sema rangi ya mwili ni ugonjwa viltigo.
 
Sikuwahi kuyasikia haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…