Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Jamaa alijichanganya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wenye akili na wajuzi wa mambo na mahodari wa mijadala wamepotea sana.Wamebaki wapenzi wa mpira tu na mipashoHuyu jamaa nahisi kuna mengi kumhusu siyajui,bahati mbaya JF ya sasa huu uzi ndio ushaisha hakuna maarifa mapya hapa.
Na mada za ngono,siku hizi ni kawaida kuingia JF alafu ukakosa mjadala wa kujihusisha nao nadhan waangalie namna wabadili Slogan ya sasa.Watu wenye akili na wajuzi wa mambo na mahodari wa mijadala wamepotea sana.Wamebaki wapenzi wa mpira tu na mipasho
Uwa "correct".....Naomba niwacollect watu wote wasiolijua hili na kusikia tu habati za mj juu juu.
Mj alivunjika pua akiwa mazoezini, akaamua aitengeneze, multiple surgeries kuwa sawa. Ndio kuliko mpelekea yeye kufikia hali ile mpaka umauti unamfika. Hajawahi kusema anataka kuwa mweupe au kujichubua or skin toning.
All reasons yeye kuwa vile ilikua pua. Pua ambayo ilikaa vibaya after frst surgery. Pua ndio iliyomtesa. Hakupenda kuwa vile.
Hapo sasa waliofatilia watajua kuna story ilikuwepo kwamba mj hakupenda pua yake. Big no, HAKUPENDA PUA AFTER SURGERY.
Typing errorUwa "correct".....
Ikawaje akabadilika rangi mwili mzima?Naomba niwacollect watu wote wasiolijua hili na kusikia tu habati za mj juu juu.
Mj alivunjika pua akiwa mazoezini, akaamua aitengeneze, multiple surgeries kuwa sawa. Ndio kuliko mpelekea yeye kufikia hali ile mpaka umauti unamfika. Hajawahi kusema anataka kuwa mweupe au kujichubua or skin toning.
All reasons yeye kuwa vile ilikua pua. Pua ambayo ilikaa vibaya after frst surgery. Pua ndio iliyomtesa. Hakupenda kuwa vile.
Hapo sasa waliofatilia watajua kuna story ilikuwepo kwamba mj hakupenda pua yake. Big no, HAKUPENDA PUA AFTER SURGERY.
Pua zingatia neno pua inayofanyiwa surgery na kwann rangi ikabdirika usipoweza kudadavua hapo. Sina majibu yako.Ikawaje akabadilika rangi mwili mzima?
Kwa nini waliamua kumpaka mavi ?Rangi yake ni ugonjwa, ila pua alichonga
MJ alikua cool sana, basi tu western media wakiamua kukupaka mavi wanakupaka tu. Wameshamuita mbakaji, mlawiti
Daaah, bora hata wangempaka mkojo. Mavi sio poa.Kwa nini waliamua kumpaka mavi ?
Aliwakosea nini ?
Na pia MJ alikuwa muathirika wa ugonjwa wa vitiligo, Wala hakupenda kuwa mzungu... Mtafuteni yule actress wa filamu ya sarafina, pia alipata vitiligo.. alivyo Sasa. Michael ndo alikuwa vile akaamua awe mweupe fulu.. na kichwani alinunuaga almanusura kufa alifanya tangazo la Pepsi hivyo hanaga nywele ndo MAANA akaanza kuvaa mawigi..Naomba niwacollect watu wote wasiolijua hili na kusikia tu habati za mj juu juu.