Michael Jackson hajawai kuwa na wa kumfananisha naye

Jaribu kumfatilia the weeknd ndo utajua
Kwa ambao tumeona kazi za Michael Jackson hasa akiwa kwenye peak miaka ya 80.. hutakaa uje uone kipya kwa mwanamuziki kama The weekend chrisbrown bila kumsahau Bruno mars..


Kuanzia video zao(Fine china ya chris brown kaiga kabisa you rock my world video, one in a million ni copy ya video ya the way you make me feel), style za kucheza na mambo mengine mengi ni replica ya Mj..
 
We jamaa unampendaga Jacko kinomaaa
 
Afu ndo huyo huyo alisema Tz inanuka
Leo shobo kibao
 
Chris Brown
acha basiii"" nampenda mnoo criss brown lakini hata yeye anasemaga kuwa role model wake ni MJ""" ACHA kabisaa hakuna msanii ambaye ameshawahi kufikia level zahuyo kiumbe"" Michael hakuwa mtu wa kawaida ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…