witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
PreciselyHakuna mtu anayeimba Pop sahizi ambaye hafanyi 40% au zaidi ya alichokifanya MJ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PreciselyHakuna mtu anayeimba Pop sahizi ambaye hafanyi 40% au zaidi ya alichokifanya MJ
Kwa ambao tumeona kazi za Michael Jackson hasa akiwa kwenye peak miaka ya 80.. hutakaa uje uone kipya kwa mwanamuziki kama The weekend chrisbrown bila kumsahau Bruno mars..Jaribu kumfatilia the weeknd ndo utajua
We jamaa unampendaga Jacko kinomaaaKwa ambao tumeona kazi za Michael Jackson hasa akiwa kwenye peak miaka ya 80.. hutakaa uje uone kipya kwa mwanamuziki kama The weekend chrisbrown bila kumsahau Bruno mars..
Kuanzia video zao(Fine china ya chris brown kaiga kabisa you rock my world video, one in a million ni copy ya video ya the way you make me feel), style za kucheza na mambo mengine mengi ni replica ya Mj..
Haha nampenda sana ndio mkuu.... maana hata watu huwa wanajua historia yake mbaya tuuWe jamaa unampendaga Jacko kinomaaa
Bado yuko advanced sana mpaka sasa! Hawajamkuta.Ni alien au
And dancer, in short, he's a super entertainer! Hamna msanii aliye-inspire wasanii na watu wengi kama MJ.MJ ni extraordinary singer
ata kidogoHamfikii daimond platnumz huyo.
Hamfikii daimond platnumz huyo.
Kumfananisha Michael na vichaa wa bongo ni aibuHamfikii daimond platnumz huyo.
Aisee.MJ alifanya nipate demu.
MJ, yule mamzi uliyenisaidia kumpata bado Niko naye, asante sasa brother, upumzike unapostahili.
Story za kahawa hizo, alifika akakaa na kupiga story na mwinyi ikulu, kwenye wimbo wa Liberian girl amechomekea maneno ya kiswahili "nakupenda pia, nakutaka pia, mpenzi wee", wimbo wa earth song kuna vipande vilichukuliwa Tanzania. Acha story za vijiweni.Afu ndo huyo huyo alisema Tz inanuka
Leo shobo kibao
Anamfananisha na nani huyu? Kwa michael ni sawa na takatakaKumfananisha Michael na vichaa wa bongo ni aibu
acha basiii"" nampenda mnoo criss brown lakini hata yeye anasemaga kuwa role model wake ni MJ""" ACHA kabisaa hakuna msanii ambaye ameshawahi kufikia level zahuyo kiumbe"" Michael hakuwa mtu wa kawaida ....Chris Brown
hao wote uliowataja hapo.Tyson na gaucho "" hakuna hata aliyewahi kuifikia level ya ushawishi aliyokiwaga nayo MJKwenye burudani kuna watu watatu nawapenda mno nao ni,mj,Tyson,gaucho