daaahh naijua ile ngoma...niwasha washa aiseee...kuna nyingineKuna kitu kinaitwa IN THE CLOSET, biti tu lazima udate.
daaahhh hiyo ngoma..umenikumbusha mbali mnooo"" mpaka nimesisimka aiseeBiti la WHO IS IT, lazima udate!, ukilisikiliza ktk mziki mnene, utawakubali pia producers wake. The best works with the best!!
acha kabisaaa kuna ile anaslide inaitwa moon walk....kisha anafnya kama anatembea kama tom and jerry hivi "" ana snap finger then anashika ikulu daahh""Ana swagger yake fulani inanikoshaga sana akiwa anacheza anashika kunako mbele dizain kama anaa......tih huku kasimamia vidole vya miguu
Kwa kweli walahi!
HaaaaahaaaKumfananisha Michael na vichaa wa bongo ni aibu
Ulimsikia akisema?Afu ndo huyo huyo alisema Tz inanuka
Leo shobo kibao
Mmmh....hamna kitu huyoHajamfikia Elvis Presley hata robo.
Michael Jackson hakutoka dunia hii, ni wa kipekee na ataemdelea kuwa hivyo.
Huyu alikuwa drug addict kwa hiyo labda alikuwa higher than a morfuker alipokuwa anasema hayo.Kuna yule MChammer aliwahi kutamka yeye duniani ni wa kwanza kwenye ukali wa kuruka debe akifuatiwa na Michael Jackson.
Huyu alikuwa drug addict kwa hiyo labda alikuwa higher than a morfuker alipokuwa anasema hayo.
Michael is special..Trump mbaguzi wa rangi wakati ule alikuwa akiarika watu kwenye kasri lake alikuwa anaharika mtu mweusi mmoja tu nae ni Michael akiulizwa kwanini anasema "Michael is special" hivyo tu.
Kuna yule legendary wa pop and rock..James Brown aliwahi kuulizwa kuhusu Michael akasema "Michael makes me rethink why I'm I the king of pop while I see a young man who is legend at his young age."Yes he was a very special person despite his short comings in many areas.
Kaka hakunaga standard mbona wewe unavaa suruali na mashati ambao si utamaduni wako umekuwa boya unaiga waliomchapa fimbo uchi babu yako,sasa extent ya kutojikubali kila mtu anaamua its a free world rightUkisema alikua na kipawa cha kuimba na kucheza nakuelewa, ukisema alikua na akili sana sikuelewi, hakua na akili yoyote.
Binadam mwenye akili ya kawaida tu kwanza anaanza kujikubali alivyo, mtu asiejikubali ni kwamba ana mapungufu katika mfumo wake wa kufikiri.
Tofautisha kipaji na akili. MJ hakua na akili.
Jifunze kufikiri vizuri. Jifunze kujenga hoja yenye mantiki.Kaka hakunaga standard mbona wewe unavaa suruali na mashati ambao si utamaduni wako umekuwa boya unaiga waliomchapa fimbo uchi babu yako,sasa extent ya kutojikubali kila mtu anaamua its a free world right
Jifunze kufikiri vizuri. Jifunze kujenga hoja yenye mantiki.
Nguo na rangi/umbile wapi na wapi? Jaribu kutoa mifano yenye akili.